Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Kuvaa kaniki hata johnthebaptist anatambua vemaWatu walikosa mpaka sanda za kuzikia ndugu zao
Nyerere alikuwa akili ndogoKuvaa kaniki hata johnthebaptist anatambua vema
Hakuna chochote kilichobadilika ukilinganisha na sasa. Tena kipindi hicho pengine hali ilikuwa nzuri zaidi. Watu wengi wana-confuse kati ya maendeleo ya kisayansi, utandawazi, communication etc yaliyopo sasa hivi duniani kote na maisha ya kipindi hicho. Ukifananisha kwa njia hii unaweza kudhani tuko vizuri zaidi.Watu walikosa mpaka sanda za kuzikia ndugu zao
Hakuna chochote kilichobadilika ukilinganisha na sasa. Tena kipindi hicho pengine hali ilikuwa nzuri zaidi. Watu wengi wana-confuse kati ya maendeleo ya kisayansi, utandawazi, communication etc yaliyopo sasa hivi duniani kote na maisha ya kipindi hicho. Ukifananisha kwa njia hii unaweza kudhani tuko vizuri zaidi.
Nchi hata kupanga vijiji miji na majiji imekuwa shida alafu kutwa kuimba nyimbo za mageuzi ya kiini macho.Hii nchi haiendi mbele inarudi nyuma.
Ahaaa hakikaNchi hata kupanga vijiji miji na majiji imekuwa shida alafu kutwa kuimba nyimbo za mageuzi ya kiini macho.
Umasikini mkali.
Matuamaini makubwa ya nchi mpya.
Uadilifu kwa wafanya kazi.
Upinzani wa chini chini kutokea hadi njama za kupindua
Baada ya vita na amin nchi ndio ikawa na tabu kupindukia
Viwanda kuwa chini ya mamlaka ambayo walshindwa kuviendeleza vizuri.
Kutumika na wa commonisti ingawa wao wanafaidika ssisi tunataabika
Mshikamano na umoja ikawa rahisi kwa watanzania
Watu walilima kweli ila teknolojia mbovu, output ndogo na sio quality ikawakwamisha
Wa kinyonyaji sana.Ujamaaa ni mfumo wa kishamba sana