Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 594
- 1,061
Ukiangalia awamu ya tano na ya Sita kumekuwa na mzunguko hafifu wa fedha kwa wananchi... Pesa imepotea.
Ukilinganisha na awamu ya nne kurudi Nyuma inaonekana mzunguko wa pesa ulikuwa mkubwa mno(pesa ilikuepo).
Nimetafakari na kujiuliza maswali; "inawezekana awamu ya nne kurudi Nyuma tulikua na viongozi wanaotudekeza(dezodezo), ama hali ile ndio ilikua hali halisi ya maisha".
Pia nikawaza "inawezekana awamu ya tano na ya sita tupo chini ya viongozi wanaotimiza wajibu wao ipasavyo na hii hali tunayoiona ndio hali halisi inavyopaswa iwe hakuna anaekandamiza wala nini, na hii hali ya wananchi kuona maisha magumu ni denial stage tutaenda nayo na kufika hutua tunaizoea(tunaikubali) na kuishi nayo, ama awamu ya tano na ya sita ni inautawala ambao uko too harsh kwa wananchi na hawawajali wananchi(🐸)".
Kipi ni kipi hapo wakuu?
Karibuni.