Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 594
- 1,061
- Thread starter
- #21
ni hayo tuMaisha magumu yapo kwenye tafsiri ya kichwa cha mtu.Hata wakati wa Mkapa mlisemaga maisha magumu na kauli ikaibuka inayosema USAWA WA MKAPA
Wabongo wengi sisi ni wavivu na tuna nidhamu mbaya ya kifedha mambo yamebadilika kila kitu kinahitaji hela tofauti na zamani mtu ukiwa na unga matembele unayakuta nyuma ya nyumba na hata umalaya ulikuwa sio gharama sana kiasi kwamba uchunaji haukuwepo wa kiwango hiki.
Mambo yamebadilika ila tabia zetu za ulevi na umalaya bado tunakomaa nazo
Mkuu ni kweli mambo mengi yamebadilika sikuhizi "kila falme na nyakati zake"
Kuna baadhi ya mabadiliko inatubidi tu-comply tu hatuna budi kufanya hivyo.
Kwahiyo mkuu unataka kutuambia kua inatupasa kuwajibika katika baadhi ya mambo sisi kama Wananchi.