Regimes zilizopita kipindi cha uchaguzi ndo ilikuwa ndo wakati wa aueni....Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.
Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa amefuatwa na watu wasiopungua 5 waliomfuata wakiomba mkopo huku yeye mwenyewe pia akiwa katika msako wa mkopo.
Yaani kila mmoja anamfikiria mwenzake labda ana unafuu fulani, kumbe siyo.
Wote tupo kwenye msoto mkali. Miaka 5 ya utawala huu imetufikisha hapa! Sasa wanakuja tena kuomba kura eti wamenunua ndege!
Tuna JAMBO LETU 28/10/2020.
NecNimekata tamaa kupiga kura kutokana na mwonekano wa NEC. Inaonekana hata mgombea nimtakaye akishinda hatatangazwa
Mtaani hatuwezi kusema kitu,, tuna hofu na watu wasiojulikanaNakuuliza tuu Nani MATAGA !?
Wanaishi Duniani
Nikufafanulie nilichotaka ufahamu Mimi binafsi nikiingia Mitandaoni (JF na Twitter) Asilimia Kubwa ndipo napokutana na watu wanao mkashifu MAGUFULI Ni mara chache Sanaaa Huku mtaani kuona mtu/watu wamekaa wana mkashifu Magufuli Sio kwnye Daladala, Sokoni,Madukani nk
Zaidi Utaskia tuu Magufuri jembe, Mzee hataki mchez Safi Sana, Jamaa kanyoosha nchi na mengineyo
Huo Ni mtazamo wang Mimi Kama unao wako wa tofaut I won't mess with it [emoji276][emoji276]
Mungu wetu hashindwi kuna watu wachache watajitoa muhanga kulinda kura huo utakuwa ukomboziNimeota ujue hata mkipiga kura, wasimamizi wa uchaguzi hawatatangaza mpinzani kama ilivyokuwa serikali za mitaa na chaguzi zilizorudiwa.
Ndoto yangu ni ya ukweli kwa hiyo tujiandae kisaikolojia miaka mingine 5 kuwa na huyu jamaa unless Mungu aingilie kati tu.
Na safari hii atafanya anachotaka, hata viboko mtapigwa heeeee
Mkuu kwani walioko mitandaon, wanaishi wapi mkuu?.Hahahahh
Niwaambie MAGUFULI Anachukiwa Mitandao Tuu tena Sana Sana Jamii forum Na Twitter
Kwa Ground Mambo Ni tofauti endeleeni kujipa Mioyo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Dooh Mkuu nimeshajibu mkuuMkuu kwani walioko mitandaon, wanaishi wapi mkuu?.
Nakuuliza tuu Nani MATAGA !?
Wanaishi Duniani
Nikufafanulie nilichotaka ufahamu Mimi binafsi nikiingia Mitandaoni (JF na Twitter) Asilimia Kubwa ndipo napokutana na watu wanao mkashifu MAGUFULI Ni mara chache Sanaaa Huku mtaani kuona mtu/watu wamekaa wana mkashifu Magufuli Sio kwnye Daladala, Sokoni,Madukani nk
Zaidi Utaskia tuu Magufuri jembe, Mzee hataki mchez Safi Sana, Jamaa kanyoosha nchi na mengineyo
Huo Ni mtazamo wang Mimi Kama unao wako wa tofaut I won't mess with it [emoji276][emoji276]
Do you know why watu hizo sehemu ulizozitaja hawamsemi vibaya JPM? Sababu wanaogopa kukamatwa!!!! Kuna watu wamemwagwa hizo sehemu mpaka maofisini ili kusikiliza nani anamsema JPM vibaya. Watu wanakamatwa na wengine hadi wanapotezwa kwa hiyo ukweli ndiyo huo pamoja na kwamba ni kweli wapo wanaomuona yeye ni jembe.Nakuuliza tuu Nani MATAGA !?
Wanaishi Duniani
Nikufafanulie nilichotaka ufahamu Mimi binafsi nikiingia Mitandaoni (JF na Twitter) Asilimia Kubwa ndipo napokutana na watu wanao mkashifu MAGUFULI Ni mara chache Sanaaa Huku mtaani kuona mtu/watu wamekaa wana mkashifu Magufuli Sio kwnye Daladala, Sokoni,Madukani nk
Zaidi Utaskia tuu Magufuri jembe, Mzee hataki mchez Safi Sana, Jamaa kanyoosha nchi na mengineyo
Huo Ni mtazamo wang Mimi Kama unao wako wa tofaut I won't mess with it [emoji276][emoji276]
Mkuu mtaani sasaivi watu wakimsema Meko, wanaogopa..ukitaka ujue ukweli we uliza tu, au himiza jamani tukapigeni kura, halafu usioneshe upande uliopo. Watu wengi utasikia tukienda kupiga kura zitaibiwa, au mshindi anajulikana hata tukipiga/tusipopiga kura. Na wengi wanahisi hata wakipiga ccm wataiba kura.Dooh Mkuu nimeshajibu mkuu
Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.
Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa amefuatwa na watu wasiopungua 5 waliomfuata wakiomba mkopo huku yeye mwenyewe pia akiwa katika msako wa mkopo.
Yaani kila mmoja anamfikiria mwenzake labda ana unafuu fulani, kumbe siyo.
Wote tupo kwenye msoto mkali. Miaka 5 ya utawala huu imetufikisha hapa! Sasa wanakuja tena kuomba kura eti wamenunua ndege!
Tuna JAMBO LETU 28/10/2020.
Nimeota ujue hata mkipiga kura, wasimamizi wa uchaguzi hawatatangaza mpinzani kama ilivyokuwa serikali za mitaa na chaguzi zilizorudiwa.
Ndoto yangu ni ya ukweli kwa hiyo tujiandae kisaikolojia miaka mingine 5 kuwa na huyu jamaa unless Mungu aingilie kati tu.
Na safari hii atafanya anachotaka, hata viboko mtapigwa heeeee
Sure, round ya pili ataburuza watu sana kama kisasi cha kumshangilia Lissu.
Nimekata tamaa kupiga kura kutokana na mwonekano wa NEC. Inaonekana hata mgombea nimtakaye akishinda hatatangazwa
Watanzania acha tule msoto kwasababu sisi ni hamnazo,maana tuna macho lkn hatuoni,tuna masikio lkn hatusikii.Hakuna wa kutuhurumia,wacha tuipate fresh kulipia ujinga wetu.
Haya Sawa Sawa MkuuMkuu mtaani sasaivi watu wakimsema Meko, wanaogopa..ukitaka ujue ukweli we uliza tu, au himiza jamani tukapigeni kura, halafu usioneshe upande uliopo. Watu wengi utasikia tukienda kupiga kura zitaibiwa, au mshindi anajulikana hata tukipiga/tusipopiga kura. Na wengi wanahisi hata wakipiga ccm wataiba kura.
Nimeongea na mzee(72) mmoja jana anasema toka enzi ya Nyerere hajawai kukutana na maisha magumu kama ya utawala huu.Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.
Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa amefuatwa na watu wasiopungua 5 waliomfuata wakiomba mkopo huku yeye mwenyewe pia akiwa katika msako wa mkopo.
Yaani kila mmoja anamfikiria mwenzake labda ana unafuu fulani, kumbe siyo.
Wote tupo kwenye msoto mkali. Miaka 5 ya utawala huu imetufikisha hapa! Sasa wanakuja tena kuomba kura eti wamenunua ndege!
Tuna JAMBO LETU 28/10/2020.
100% naliona hiliSure, round ya pili ataburuza watu sana kama kisasi cha kumshangilia Lissu.
Unalia ukata halafu unashinda JF na Instagram, hilo bando unanunua na nini?Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.
Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa amefuatwa na watu wasiopungua 5 waliomfuata wakiomba mkopo huku yeye mwenyewe pia akiwa katika msako wa mkopo.
Yaani kila mmoja anamfikiria mwenzake labda ana unafuu fulani, kumbe siyo.
Wote tupo kwenye msoto mkali. Miaka 5 ya utawala huu imetufikisha hapa! Sasa wanakuja tena kuomba kura eti wamenunua ndege!
Tuna JAMBO LETU 28/10/2020.
Nimepanda kwenye gari na mama mmoja kwanza nauli aliambiwa ni elfu mbili akasema yeye ana elfu kijana mmoja akamlipia 1000, anadai wana mgonjwa hospitalini na wana bima hakuna dawa wameambiwa wakanunue ametaja kuhusu kifafa anadai zile dawa zilikuwa zikiwasaidia zimefutwa na Bima. Kama kuna familia haijaguswa kwenye huu utawala ni zile first class families, lakini akina sie hatuna hamu.Nimeongea na mzee(72) mmoja jana anasema toka enzi ya Nyerere hajawai kukutana na maisha magumu kama ya utawala huu.
Ndio taifa analotengeneza Lissu hili. Wewe shinda mitandaoni uone kama utakula hizo MB.Mungu hadhihakiwi, apandacho mtu huvuna. Tegemea hali uliyonayo, kuongezeka mara dufu usipochukua hatua.Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.
Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa amefuatwa na watu wasiopungua 5 waliomfuata wakiomba mkopo huku yeye mwenyewe pia akiwa katika msako wa mkopo.
Yaani kila mmoja anamfikiria mwenzake labda ana unafuu fulani, kumbe siyo.
Wote tupo kwenye msoto mkali. Miaka 5 ya utawala huu imetufikisha hapa! Sasa wanakuja tena kuomba kura eti wamenunua ndege!
Tuna JAMBO LETU 28/10/2020.
njia pekee ya kuondoa dhiki hii ni ile ya sanduku la kura octoba 28Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.