Uchaguzi 2020 Hali ya maisha mtaani ni ngumu mno

Uchaguzi 2020 Hali ya maisha mtaani ni ngumu mno

Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.

Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa amefuatwa na watu wasiopungua 5 waliomfuata wakiomba mkopo huku yeye mwenyewe pia akiwa katika msako wa mkopo.

Yaani kila mmoja anamfikiria mwenzake labda ana unafuu fulani, kumbe siyo.

Wote tupo kwenye msoto mkali. Miaka 5 ya utawala huu imetufikisha hapa! Sasa wanakuja tena kuomba kura eti wamenunua ndege!

Tuna JAMBO LETU 28/10/2020.

wakati tukienda shule wewe ulikalia politic... vuna ulichopanda
 
Tuoneshe mfano. Anza kwa kurekodi ka video tu ukihamasisha tuingie mtaani kufanya chochote.
Elfu saba saba zimewatoa akili kabisa. Unadhani huko vijijini na mitaani wanazipata hizo pia? Puumbavu sana ninyi.
 

Attachments

  • Lumumba Buku 7.jpg
    Lumumba Buku 7.jpg
    20.8 KB · Views: 1
Ni heri tupigwe mabomu kuliko kupigwa njaa again for 5 yrs.
Watz wengi walishasahau kunywa chai, wengi wanashindia mihogo,
 
Mjini mnatafuta nini wajameni? Acha kuishi mjini kwa kubangaiza mtu anatembeza mikanda 3 ya suruali, key holder kuanzia jua linachomoza hadi giza linaingia eti naye anasema vyuma vimekaza! Njoo huku kijijini maisha raha na hivi tumepatiwa umeme wa REA, barabara za lami na treni za umeme zinakaribia kuja, nk maziwa, viazi, mahindi, misosi ya kumwaga!

Nje ya mada: Kumbe Trump wa Marekani Tangu awe rais amelipa kodi ya US$ 750 tu? Urais ni dili!!
Trump mjanja mjanja sana na unakuta hiyo kodi kailipa ndogo hivyo lakini ni perfectly legal hajavunja sheria! Ukijua loop holes za kupitia raha sana!😁
 
Usiwakatishe watu tamaa kwa woga wako, sio mara ya kwanza wala si jambo la ajabu kwa watanzania kuingia mtaani wakidai haki zao. Haki yetu ikiminywa tutaingia mtaani.
Keyboard warrior.
 
Keyboard warrior.
Mambo yote yanaanza kwa kuhamasishana. Usikubali nchi hii itawaliwe kwa mtindo huu wa sasa, ni hatari sana umeona uvunjifu mkubwa wa amani na hakuna lolote la maana alilofanya magu ni kawaida sana na hadi sasa hajafikia robo ya Kiwete. Nitajie mradi mkubwa mmoja ambao magu amekamilisha katika kipindi cha miaka mitano. Usitaje miradi aliyoanzisha Kikwete. Mmoja tu mkubwa sio vibarabara vya hapa na pale Kikwete alijenga mabarabara marefu kuunganisha mkoa na mkoa, taja mmoja tu.
 
Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.

Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa amefuatwa na watu wasiopungua 5 waliomfuata wakiomba mkopo huku yeye mwenyewe pia akiwa katika msako wa mkopo.

Yaani kila mmoja anamfikiria mwenzake labda ana unafuu fulani, kumbe siyo.

Wote tupo kwenye msoto mkali. Miaka 5 ya utawala huu imetufikisha hapa! Sasa wanakuja tena kuomba kura eti wamenunua ndege!

Tuna JAMBO LETU 28/10/2020.

so unadhan serikali ndo inafanya maisha yanakua magumu? basi jiandae kua na maisha magumu zaidi maaana wana ccm tuna jambo letu kwenye katiba mpya
 
Nakuuliza tuu Nani MATAGA !?

Wanaishi Duniani
Nikufafanulie nilichotaka ufahamu Mimi binafsi nikiingia Mitandaoni (JF na Twitter) Asilimia Kubwa ndipo napokutana na watu wanao mkashifu MAGUFULI Ni mara chache Sanaaa Huku mtaani kuona mtu/watu wamekaa wana mkashifu Magufuli Sio kwnye Daladala, Sokoni,Madukani nk
Zaidi Utaskia tuu Magufuri jembe, Mzee hataki mchez Safi Sana, Jamaa kanyoosha nchi na mengineyo

Huo Ni mtazamo wang Mimi Kama unao wako wa tofaut I won't mess with it [emoji276][emoji276]


huu ndo mtazamano wa watu wengi, hawa wengine wana tundu kwenye kichwa
 
Hahahahh
Niwaambie MAGUFULI Anachukiwa Mitandao Tuu tena Sana Sana Jamii forum Na Twitter

Kwa Ground Mambo Ni tofauti endeleeni kujipa Mioyo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Na kimbunga tunachokiona kila apitapo hao ni wanaFJ au ni events za mwaka 1890 wakiwapokea wakoloni!!! MATAGA bwana, mnajua kujitoa akili!!!!
 
Back
Top Bottom