Uchaguzi 2020 Hali ya maisha mtaani ni ngumu mno

Wewe ni mpumbavu wa mwisho.
Wewe kama unakula na kusaza kwa pesa za rushwa, dhulma na makandokando ya huko Lumumba basi funga "matacco" yako na uendelee kuvimbiwa, huku mtaani tunashuhudia familia nyingi zinatapatapa namna ya kujipatia ridhiki zao za kila siku na kuendasha maisha kwa sababu ya sera mbovu za CCM. Acha upuuzi aisee.
 
Mpuuzi ni wewe uliekosa hoja unaharisha tu.
 
Umebadili mada?! Anza kuhamasisha utapata wafuasi.
 
Mkuu wankuwa na "tax exemption" pia kwenye biashara zao, mfano hotel za Trump na viwanja vya golf nk vinasamehewa kodi?
kwan hyo tax exemption nasemea wap!,,,ndio ata hotels zake ana msamaha wa kodi mfano kibongo bongo hata wabunge wana % kadhaa za msamaha wa kodi.
 
Wabongo bwana sasa kwenye chaguzi za serikali za mitaa tulilala, na hivi sasa wamechukua wabunge wetu wengi sana katika maeneo strategic, sasa hata akishinda Tundulissu, vipi pale mjengoni, hali itakuwaje?!
 
Huwa sielewi hawa watu wanaoitwa ni wavivu huwa ni nani anawalipia kodi, chakula, na gharama nyingine za kuendrsha maisha. Jamaa wanadharau sana!
 
Hahahahh
Niwaambie MAGUFULI Anachukiwa Mitandao Tuu tena Sana Sana Jamii forum Na Twitter

Kwa Ground Mambo Ni tofauti endeleeni kujipa Mioyo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kama unavyojipa wewe mkuu.
 
So unahisi kila mtu kazaliwa na akili ya kitafuta maeneo ya kijijini?!
 
Lini hali ya maisha iliwahi kuwa RAHISI ? Kwa mifumo na utamaduni wa waafrika kuuondoa umasikini kwa watu wengi itachukua muda sana.Iwezo wetu wa kufikiri unatia shaka.
Aaaaah we hebu tupishe hapa. Kipindi cha nyuma kulikuwa na uafadhali kidogo tofauti na sasa.
 
In shot maisha ni magumu duniani kote kikubwa we pambana usikae kulaumu huku umekaa mtamsingizia magufuli bure wakati hata kipindi cha kikwete mlikua hamna kitu
Sipendagi watu kama wewe unaejifanya hamuelewi kinachoendelea....

Hebu kuwa specific basi, tunapambana vipi labda?!

Tupe codes mzee?!

Unajua maisha ya sasa hapa tz kwasasa ukitafuta shughuli inayoweza kupatia means ya kusurvive then kuna vitu huwa vinatokea, raia watakuiga nao wafanye kama wewe, mamlaka zitakufuata zikitaka maslahi yao kwa nguvu as if walikupa mtaji na idea, bado hawa ndugu na marafiki chuma ulete, acha kabisa.

So ukisema pambana unamaanishaje unajua vijana wa sasa hamjielewi tukisema ukweli?!
 
Kwahiyo walioko kwenye mitandao yakijamii ni wananchi wa nchi tofauti na hao unaosema wako ground nao ni nchi nyingine.Unatakiwa ujue kama ambavyo wewe umepata kujua kilichoandikwa kwenye mitandao na mwingine anaweza kupata vile vile.Sasa huyo anayeshabikia hali duni na ugumu wa maisha huyo tunaweza kusema anamatatizo ya akili.
Hahahahh
Niwaambie MAGUFULI Anachukiwa Mitandao Tuu tena Sana Sana Jamii forum Na Twitter

Kwa Ground Mambo Ni tofauti endeleeni kujipa Mioyo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Lissu anakuja kumfanya kila mtu tajiri na hakuna kulipa kodi wala sheria kumbana mtu unaishi utakavyo.
Mzee baba mwambieni Magufuli alegeze, ETHIOPIA wanakila mradi unaofanyika Tz ,lkn raia wake kila siku wanakamatwa kwenye malori hapa Tz wakitaka kuzamia South African. Sio kwamba kwao hakuna maendeleo yavitu, lkn ugumu wamaisha mifukoni mwao ndio chanzo. Hii muda simrefu itaanza kutokea Tz raia wake kuanza kukimbia hii nchi kama Meko akiendelea kuwa raisa.
 
Unataka waseme hivyo wazi wazi ili kisutu iwahusu.na kimsingi hakuna anayemkashifu magu bali watu wanatoa hisia zao.Ninachokijua nikwamba Watanzania wengi ni wanafiki ila pia sio kwamba hawaoni hali ngumu iliyopo changamoto iliyopo nikwamba wengi wetu hatutaki kuumiza vichwa kifikiri kwakina tunayoambiwa kwahiyo tunaishia kuamini tunayoambiwa bila kuhoji.Sasa huo ndio mtaji wa lumumba na watu wake.
 
Sio kweli, mbona magari, pikipiki,nyumba vinaongezeka mtaani.? nenda hata kijijini karibu kila kaya ina pikipiki, rudi kijijini tena waulize mnaendeshaje maisha na huku naona mazao hakuna mashambani au gharani ? watakwambia tunanunua gulioni.Kipato kwa kila mwananchi kimeongezeka ila mwenye nchi hana watu wa kumsaidia kulieleza hili.
 
Kuna tofauti kubwa sana ya sasa na tulipotoka.Na usifananishe dunia nzima na shida zetu na umaskini wetu wakujitakia kwasababu yakukosa viongozi bora wakuongoza nchi ipasavyo.
In shot maisha ni magumu duniani kote kikubwa we pambana usikae kulaumu huku umekaa mtamsingizia magufuli bure wakati hata kipindi cha kikwete mlikua hamna kitu
 
The Hague unafikiri Lissu ni Lowassa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…