Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kama unakula na kusaza kwa pesa za rushwa, dhulma na makandokando ya huko Lumumba basi funga "matacco" yako na uendelee kuvimbiwa, huku mtaani tunashuhudia familia nyingi zinatapatapa namna ya kujipatia ridhiki zao za kila siku na kuendasha maisha kwa sababu ya sera mbovu za CCM. Acha upuuzi aisee.Wewe ni mpumbavu wa mwisho.
Mpuuzi ni wewe uliekosa hoja unaharisha tu.Wewe kama unakula na kusaza kwa pesa za rushwa, dhulma na makandokando ya huko Lumumba basi funga "matacco" yako na uendelee kuvimbiwa, huku mtaani tunashuhudia familia nyingi zinatapatapa namna ya kujipatia ridhiki zao za kila siku na kuendasha maisha kwa sababu ya sera mbovu za CCM. Acha upuuzi aisee.
Umebadili mada?! Anza kuhamasisha utapata wafuasi.Mambo yote yanaanza kwa kuhamasishana. Usikubali nchi hii itawaliwe kwa mtindo huu wa sasa, ni hatari sana umeona uvunjifu mkubwa wa amani na hakuna lolote la maana alilofanya magu ni kawaida sana na hadi sasa hajafikia robo ya Kiwete. Nitajie mradi mkubwa mmoja ambao magu amekamilisha katika kipindi cha miaka mitano. Usitaje miradi aliyoanzisha Kikwete. Mmoja tu mkubwa sio vibarabara vya hapa na pale Kikwete alijenga mabarabara marefu kuunganisha mkoa na mkoa, taja mmoja tu.
Kapige kura itakuwa message sent and delivered.Nimekata tamaa kupiga kura kutokana na mwonekano wa NEC. Inaonekana hata mgombea nimtakaye akishinda hatatangazwa
Umechanganyikiwa wewe, kama baba yenu jiwe.Mpuuzi ni wewe uliekosa hoja unaharisha tu.
kwan hyo tax exemption nasemea wap!,,,ndio ata hotels zake ana msamaha wa kodi mfano kibongo bongo hata wabunge wana % kadhaa za msamaha wa kodi.Mkuu wankuwa na "tax exemption" pia kwenye biashara zao, mfano hotel za Trump na viwanja vya golf nk vinasamehewa kodi?
Huwa sielewi hawa watu wanaoitwa ni wavivu huwa ni nani anawalipia kodi, chakula, na gharama nyingine za kuendrsha maisha. Jamaa wanadharau sana!Vyuma vilivyobana ndivyo vinampigia kampeni ya kisirisiri Tundu lissu maana watanzania wote tumeathirika na vyuma vilivyobana na watanzania tukilalamika hali ni ngumu tunaitwa wavivu na wapiga dili. Sasa sisi watanzania kwa umoja wetu tuungane kwa pamoja kumpa kura za kishindo Lissu ili atuokoe na hali ngumu.
Oktoba 28 tuna jambo letu, kura zote kwa lissu.
Kama unavyojipa wewe mkuu.Hahahahh
Niwaambie MAGUFULI Anachukiwa Mitandao Tuu tena Sana Sana Jamii forum Na Twitter
Kwa Ground Mambo Ni tofauti endeleeni kujipa Mioyo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
So unahisi kila mtu kazaliwa na akili ya kitafuta maeneo ya kijijini?!Mjini mnatafuta nini wajameni? Acha kuishi mjini kwa kubangaiza mtu anatembeza mikanda 3 ya suruali, key holder kuanzia jua linachomoza hadi giza linaingia eti naye anasema vyuma vimekaza! Njoo huku kijijini maisha raha na hivi tumepatiwa umeme wa REA, barabara za lami na treni za umeme zinakaribia kuja, nk maziwa, viazi, mahindi, misosi ya kumwaga!
Nje ya mada: Kumbe Trump wa Marekani Tangu awe rais amelipa kodi ya US$ 750 tu? Urais ni dili!!
Aaaaah we hebu tupishe hapa. Kipindi cha nyuma kulikuwa na uafadhali kidogo tofauti na sasa.Lini hali ya maisha iliwahi kuwa RAHISI ? Kwa mifumo na utamaduni wa waafrika kuuondoa umasikini kwa watu wengi itachukua muda sana.Iwezo wetu wa kufikiri unatia shaka.
Watu wanagawana pesa liveElfu saba saba zimewatoa akili kabisa. Unadhani huko vijijini na mitaani wanazipata hizo pia? Puumbavu sana ninyi.
Sipendagi watu kama wewe unaejifanya hamuelewi kinachoendelea....In shot maisha ni magumu duniani kote kikubwa we pambana usikae kulaumu huku umekaa mtamsingizia magufuli bure wakati hata kipindi cha kikwete mlikua hamna kitu
Hahahahh
Niwaambie MAGUFULI Anachukiwa Mitandao Tuu tena Sana Sana Jamii forum Na Twitter
Kwa Ground Mambo Ni tofauti endeleeni kujipa Mioyo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mzee baba mwambieni Magufuli alegeze, ETHIOPIA wanakila mradi unaofanyika Tz ,lkn raia wake kila siku wanakamatwa kwenye malori hapa Tz wakitaka kuzamia South African. Sio kwamba kwao hakuna maendeleo yavitu, lkn ugumu wamaisha mifukoni mwao ndio chanzo. Hii muda simrefu itaanza kutokea Tz raia wake kuanza kukimbia hii nchi kama Meko akiendelea kuwa raisa.Lissu anakuja kumfanya kila mtu tajiri na hakuna kulipa kodi wala sheria kumbana mtu unaishi utakavyo.
Nakuuliza tuu Nani MATAGA !?
Wanaishi Duniani
Nikufafanulie nilichotaka ufahamu Mimi binafsi nikiingia Mitandaoni (JF na Twitter) Asilimia Kubwa ndipo napokutana na watu wanao mkashifu MAGUFULI Ni mara chache Sanaaa Huku mtaani kuona mtu/watu wamekaa wana mkashifu Magufuli Sio kwnye Daladala, Sokoni,Madukani nk
Zaidi Utaskia tuu Magufuri jembe, Mzee hataki mchez Safi Sana, Jamaa kanyoosha nchi na mengineyo
Huo Ni mtazamo wang Mimi Kama unao wako wa tofaut I won't mess with it [emoji276][emoji276]
In shot maisha ni magumu duniani kote kikubwa we pambana usikae kulaumu huku umekaa mtamsingizia magufuli bure wakati hata kipindi cha kikwete mlikua hamna kitu
The Hague unafikiri Lissu ni LowassaNimeota ujue hata mkipiga kura, wasimamizi wa uchaguzi hawatatangaza mpinzani kama ilivyokuwa serikali za mitaa na chaguzi zilizorudiwa.
Ndoto yangu ni ya ukweli kwa hiyo tujiandae kisaikolojia miaka mingine 5 kuwa na huyu jamaa unless Mungu aingilie kati tu.
Na safari hii atafanya anachotaka, hata viboko mtapigwa heeeee