ESPIRIT
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 665
- 524
Asubuhi nimepiga deshi.
Saa 5 chapati 2 na chai jumla sh. 500.
Mchana andazi moja la Azam pamoja na MO passion, hapa ikiwa ni 700/=
. Jioni hii nimetumia 300 kununua mboga za majani, unga Upo kidogo. Kazini Naenda kwa mguu, situmii nauli.
Hii ni tarehe 30 mshahara wote umeisha, madeni, bado ddni la kwa Masawe. Mtumishi wa Uma mimi huu mwezi nitatoboa?