Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Asubuhi nimepiga deshi.
I Saa 5 chapati 2 na chai jumla sh. 500.
Mchana andazi moja la Azam pamoja na MO passion, hapa ikiwa ni 700/=
. Jioni hii nimetumia 300 kununua mboga za majani, unga Upo kidogo. Kazini Naenda kwa mguu, situmii nauli.![]()
Hii ni tarehe 30 mshahara wote umeisha, madeni, bado ddni la kwa Masawe. Mtumishi wa Uma mimi huu mwezi nitatoboa?
Njoo nikuoe tuchangie kipato!