Hali ya maisha ngumu, hebu cheki matumizi yangu ya leo

Hali ya maisha ngumu, hebu cheki matumizi yangu ya leo

Asubuhi nimepiga deshi.
I Saa 5 chapati 2 na chai jumla sh. 500.
Mchana andazi moja la Azam pamoja na MO passion, hapa ikiwa ni 700/=
mobile-gallery4c291ba7139d4a3904cce34a341d4d90.jpg
. Jioni hii nimetumia 300 kununua mboga za majani, unga Upo kidogo. Kazini Naenda kwa mguu, situmii nauli.
Hii ni tarehe 30 mshahara wote umeisha, madeni, bado ddni la kwa Masawe. Mtumishi wa Uma mimi huu mwezi nitatoboa?

Njoo nikuoe tuchangie kipato!
 
Pamoja na Hali ngumu unaenda kumuongezea Pesa Mo Dewj why? Si bora uchemshe Maji uweke kwenye chupa yatie glucose kidogo ushindilie na Andazi lako... Pia Waeza picha msosi usiku ukaweka kiporo ukakibeba ukala zako mchana linda afya yako wakati nguvu bado iko
 
37d48ea075fac32258a53deae7cbaaf3.jpg

Mchana wa Leo
Wazazi wako walikuwa wanakuambia kuwa uyaone....!!

Pambana tu Mkuu na hiyo hali...yaweza kuwa ni Mvumilivu......mbivu zaja....!!

Funga Mkanda...wewe mwenyewe unaona na unajua Mkuu (kiongozi) wa nchi, nae anajibana.....hivyo ni vyema tukaungana nae, kumuunga Mkono..

Haya ni mapito Mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu yule dogo akiimba Bongo bahati mbaya eti waziri wa "kucheka na kucheza" anang'aka! A hopeless minister of all time!
 
[emoji15] [emoji15]kweli wanaume wa dalusalam kazi mnayo!!, sasa mkuu, kwamsosi huo unaewezaje kutimiza jukumlako lamsingi kama mwanaume.aundo mwanzo wa kusaidiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
France revolution 1789 .. The suppression of king Luis xvi and her wife marie antoinnete ..

Bolshevik revolution 1917 ..Sir Nicolas had fallen in Russia

2020 Tanzania revolution coming sooon

Don't mind me
 
Asubuhi nimepiga deshi.
Saa 5 chapati 2 na chai jumla sh. 500.
Mchana andazi moja la Azam pamoja na MO passion, hapa ikiwa ni 700/=
mobile-gallery4c291ba7139d4a3904cce34a341d4d90.jpg
. Jioni hii nimetumia 300 kununua mboga za majani, unga Upo kidogo. Kazini Naenda kwa mguu, situmii nauli.
Hii ni tarehe 30 mshahara wote umeisha, madeni, bado ddni la kwa Masawe. Mtumishi wa Uma mimi huu mwezi nitatoboa?
Pole sana mkuu...mimi asubuhi nimepiga dash....mchana nimepata pilau na maji makubwa dasani 5000/-, jioni nimepiga mkate na chai tu! Nimekumbuka kitu....gari imekula chakula cha gharama kuliko mimi 70,000/- na tumbo lake halikujaa!
 
Haukutakiwa kuwa Dar ilipofika July. Zingatia maagizo kutoka juu mkuu.
 
Back
Top Bottom