Hali ya maisha ngumu, hebu cheki matumizi yangu ya leo

Hali ya maisha ngumu, hebu cheki matumizi yangu ya leo

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Asubuhi nimepiga deshi.
Saa 5 chapati 2 na chai jumla sh. 500.
Mchana andazi moja la Azam pamoja na MO passion, hapa ikiwa ni 700/=
mobile-gallery4c291ba7139d4a3904cce34a341d4d90.jpg
. Jioni hii nimetumia 300 kununua mboga za majani, unga Upo kidogo. Kazini Naenda kwa mguu, situmii nauli.
Hii ni tarehe 30 mshahara wote umeisha, madeni, bado ddni la kwa Masawe. Mtumishi wa Uma mimi huu mwezi nitatoboa?
 
he he! tupambane na hali yetu hakuna namna kama tuliishi kimalaika basi tuishi kama mashetani
 
Tatizo hili linakolezwa na marejesho ya mikopo. take home ni shida. tuendako watumishi lazima maendeleo yarudi nyuma.
 
Back
Top Bottom