Kwa lishe hii unaweza kuugua Ukimwi!
Mchana wa Leo
Kwa hiyo mwl ndio toleo la mwisho nchi hii? Waachen wapumue, vinginevyo wageacha kaz kama kwel hailipi na koz hiyo ingekosa wasomaji kabisa...Unafundisha shule gani Mwl? Pole.
hali ni tete aiseee,ahahahaha.....si wanywaji tunashukuru kuna balimi unapiga mbili tatu jion tumbo likiwa empty mambo yanaenda
Mchana wa Leo
Hahahahaa
Mchana wa Leo
Lakn umetudanganya hilo sio andazi la AZAM
Mchana wa Leo
Umenifanya nicheke kama mazuri vileKwa lishe hii unaweza kuugua Ukimwi!