Asubuhi nimepiga deshi.
I Saa 5 chapati 2 na chai jumla sh. 500.
Mchana andazi moja la Azam pamoja na MO passion, hapa ikiwa ni 700/=
. Jioni hii nimetumia 300 kununua mboga za majani, unga Upo kidogo. Kazini Naenda kwa mguu, situmii nauli.
Hii ni tarehe 30 mshahara wote umeisha, madeni, bado ddni la kwa Masawe. Mtumishi wa Uma mimi huu mwezi nitatoboa?
Wazazi wako walikuwa wanakuambia kuwa uyaone....!!
Mchana wa Leo
Usikariri Mtumishi wa umma sio mwl peke yake[emoji3]Unafundisha shule gani Mwl? Pole.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa lishe hii unaweza kuugua Ukimwi!
Acha dharau mkuu, hiyo buku saba inakuvimbisha kichwa kiasi hicho!!Njoo nikuoe tuchangie kipato!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwa lishe hii unaweza kuugua Ukimwi!
Pole sana mkuu...mimi asubuhi nimepiga dash....mchana nimepata pilau na maji makubwa dasani 5000/-, jioni nimepiga mkate na chai tu! Nimekumbuka kitu....gari imekula chakula cha gharama kuliko mimi 70,000/- na tumbo lake halikujaa!Asubuhi nimepiga deshi.
Saa 5 chapati 2 na chai jumla sh. 500.
Mchana andazi moja la Azam pamoja na MO passion, hapa ikiwa ni 700/=
. Jioni hii nimetumia 300 kununua mboga za majani, unga Upo kidogo. Kazini Naenda kwa mguu, situmii nauli.
Hii ni tarehe 30 mshahara wote umeisha, madeni, bado ddni la kwa Masawe. Mtumishi wa Uma mimi huu mwezi nitatoboa?
Hongera mkuu sema elf tano hiyo kubwa sana[emoji15] [emoji15]kweli wanaume wa dalusalam kazi mnayo!!, sasa mkuu, kwamsosi huo unaewezaje kutimiza jukumlako lamsingi kama mwanaume.aundo mwanzo wa kusaidiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii anasa
Mchana wa Leo