Sijui Mungu tumemfanya nn Magufuli kaondoka na mvua kabisa kweli???Kwa mwendo tunaokwenda muda sio mrefu kipindupindu kikarudi.
Kwa mara nyingine maji Dar es salaam ni shida.
Wauza maji wenyewe wanayatafuta hawayapati.
Sijui viongizi wanalichukuliaje hili huku hakuna hata taarifa kwa umma.
Hari=HaliNimepitia Barabara ya Morogoro road huku hari si shwari. Kuanzia huku kibaha, Mbezi hadi Kimara,