Hali ya Maji Dar es Salaam sio nzuri, hayatoki

Hali ya Maji Dar es Salaam sio nzuri, hayatoki

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Kwa mwendo tunaokwenda muda sio mrefu kipindupindu kikarudi.

Kwa mara nyingine maji Dar es Salaam ni shida.

Wauza maji wenyewe wanayatafuta hawayapati.

Sijui viongozi wanalichukuliaje hili huku hakuna hata taarifa kwa umma.
 
Mimi namwagilia migomba na maji yenye presha kubwa kabisa

Wewe uko Dar ipi?
 
Dar-es-salaam ni kubwa,eneo gani maji hayatoki na chanzo chenu cha maji ni wapi?
Nimepitia Barabara ya Morogoro road huku hari si shwari. Kuanzia huku kibaha, Mbezi hadi Kimara
 
Maji shida mjumbe, tena siyo Dar peke yake bali maeneo mengi nchini
 
Huku Mbagala maji bwerere!! Katika Jambo tunalojivunia watu wa Mbagala ni maji... Sijawahi kusikia shida ya maji huku
 
Kwa mwendo tunaokwenda muda sio mrefu kipindupindu kikarudi.

Kwa mara nyingine maji Dar es salaam ni shida.

Wauza maji wenyewe wanayatafuta hawayapati.

Sijui viongizi wanalichukuliaje hili huku hakuna hata taarifa kwa umma.
Sijui Mungu tumemfanya nn Magufuli kaondoka na mvua kabisa kweli???
 
Jamaa faln akaja na uzi wake anasema anashangaaa dar wanalalamika hakuna maji wakati bahari ipo karibu!!!

Mvua imekata jua limerudi tutegemeee msoto zaidi
 
Back
Top Bottom