Hali ya maji Mto Ruaha Mkuu ni mbaya, zimetimia siku 80 bila kutiririsha hata tone la maji

Hali ya maji Mto Ruaha Mkuu ni mbaya, zimetimia siku 80 bila kutiririsha hata tone la maji

Hili swala la kujiuliza na mwenye akili kubwa tu anaweza kuelewa. Je mito yetu inatokana na mvua?
Mfano ziwa Victoria linanywesha maji nchi nyingi na halijawahi kukauka?
Mito mingi huanzia toka chemchem miliman, sasa iweje Leo hii inakauka?

Kuna mahala hapako sawa. .
 
Hii ni huko Katavi NP...Ziwa Katavi pia limekauka na Mto Katuma sehemu nyingine umekauka...
IMG_20221101_185320_370.jpg
IMG_20221101_172203_605.jpg
 
Nimewahi kuwauliza watu hii issue kweli kabisa tumeamua ku abandon umeme wa gesi na kuja huku kwenye maji ambako tunajua kwamba climate change is real??
Umenena vyema
Ila sidhan climate change inaweza kuaffect bwawa letu. .
 
Nimewahi kuwauliza watu hii issue kweli kabisa tumeamua ku abandon umeme wa gesi na kuja huku kwenye maji ambako tunajua kwamba climate change is real??
Jambo la umeme wa maji kwa sasa ni lakuangalia upya. Bwawa kubwa linajengwa kutegemea mto ambao unategemea mvua....
 
Jambo la umeme wa maji kwa sasa ni lakuangalia upya. Bwawa kubwa linajengwa kutegemea mto ambao unategemea mvua....
Nakataa hii mito mikubwa haitegemei mvua
Kilimanjaro Kuna moto mingi inatokea kwenye chem chem hujo miliman. Hata mvua isiponyesha maji yapo.

Sasa ni mda wa kutoa kafara kuomb huruma ya Mungu. .
 
Nakataa hii mito mikubwa haitegemei mvua
Kilimanjaro Kuna moto mingi inatokea kwenye chem chem hujo miliman. Hata mvua isiponyesha maji yapo.

Sasa ni mda wa kutoa kafara kuomb huruma ya Mungu. .
Bila mvua mito hupungua sana maji. Kilimanjaro naijua yote, msimu wa kiangazi maji hupungua sana.
 
PIRI MOHAMED na wananchi wote wa RUJEWA, UBARUKU, USANGU tumewakosea nini? Mnakwenda kuua taifa zima!
 
Nakataa hii mito mikubwa haitegemei mvua
Kilimanjaro Kuna moto mingi inatokea kwenye chem chem hujo miliman. Hata mvua isiponyesha maji yapo.

Sasa ni mda wa kutoa kafara kuomb huruma ya Mungu. .
Mkuu hata hizo Chem Chem Zina hitaji mvua
 
Yaani na wa shangaa sana Hilo bwawa kwann hawakujenga mwanzoni mwavyazo ili maji yakitoka kwenye bwawa watu watumie maji.
Watu wa Usangu watakufa Sana na huu utaratibu wakuhamisha
Watu wa Ubaruku wengi nimeona wamehamia Pawaga na Madibira
 
Itatuchukua muda sana ili tuweze kupata Umeme kupitia Bwawa la Nyerere! hata kama usimikaji wa mitambo kukamilika!
Na bado yule dikteta alikata miti zaidi ya mil.2.5 hifadhini eti anajenga Bwawa..

Kimsingi dikteta hakuwa na akili,badala ya kuwaza vyanzo endelevu anawaza vyanzo hatarishi kwa mazingira na visivyo sustainable.
 
Nimewahi kuwauliza watu hii issue kweli kabisa tumeamua ku abandon umeme wa gesi na kuja huku kwenye maji ambako tunajua kwamba climate change is real??
Dikteta dikteta dikteta ameimaliza Nchi..

Kuwa na kichwa kikubwa haina maana una akili,

Tumefikishwa hapa na huyu 👇
 
Attachments

  • 2952362_Q0f.jpg
    2952362_Q0f.jpg
    77.1 KB · Views: 7
  • 2952061_JamiiForums569115795.jpg
    2952061_JamiiForums569115795.jpg
    26 KB · Views: 7
Hii ni huko Katavi NP...Ziwa Katavi pia limekauka na Mto Katuma sehemu nyingine umekauka... View attachment 2405570View attachment 2405571
Wachimbe maji wawasaidie Hawa Wanyama,kina Aweso si walisema wamenunua mitambo ya kuchimba visima?

Na Waziri wa Maliasili si alisema wamenunua mitambo na kule Ruaha juzi niliona excavator ikichimba maji..

Wiki moja iliyopita game reserve kule Maswa ililipoti wanyama kufa..
 
Back
Top Bottom