Nimewahi kuwauliza watu hii issue kweli kabisa tumeamua ku abandon umeme wa gesi na kuja huku kwenye maji ambako tunajua kwamba climate change is real??Itatuchukua muda sana ili tuweze kupata Umeme kupitia Bwawa la Nyerere! hata kama usimikaji wa mitambo kukamilika!
Umenena vyemaNimewahi kuwauliza watu hii issue kweli kabisa tumeamua ku abandon umeme wa gesi na kuja huku kwenye maji ambako tunajua kwamba climate change is real??
Jambo la umeme wa maji kwa sasa ni lakuangalia upya. Bwawa kubwa linajengwa kutegemea mto ambao unategemea mvua....Nimewahi kuwauliza watu hii issue kweli kabisa tumeamua ku abandon umeme wa gesi na kuja huku kwenye maji ambako tunajua kwamba climate change is real??
Nakataa hii mito mikubwa haitegemei mvuaJambo la umeme wa maji kwa sasa ni lakuangalia upya. Bwawa kubwa linajengwa kutegemea mto ambao unategemea mvua....
Bila mvua mito hupungua sana maji. Kilimanjaro naijua yote, msimu wa kiangazi maji hupungua sana.Nakataa hii mito mikubwa haitegemei mvua
Kilimanjaro Kuna moto mingi inatokea kwenye chem chem hujo miliman. Hata mvua isiponyesha maji yapo.
Sasa ni mda wa kutoa kafara kuomb huruma ya Mungu. .
Mkuu hata hizo Chem Chem Zina hitaji mvuaNakataa hii mito mikubwa haitegemei mvua
Kilimanjaro Kuna moto mingi inatokea kwenye chem chem hujo miliman. Hata mvua isiponyesha maji yapo.
Sasa ni mda wa kutoa kafara kuomb huruma ya Mungu. .
Yaani na wa shangaa sana Hilo bwawa kwann hawakujenga mwanzoni mwavyazo ili maji yakitoka kwenye bwawa watu watumie maji.PIRI MOHAMED na wananchi wote wa RUJEWA, UBARUKU, USANGU tumewakosea nini? Mnakwenda kuua taifa zima!
Watu wa Ubaruku wengi nimeona wamehamia Pawaga na MadibiraYaani na wa shangaa sana Hilo bwawa kwann hawakujenga mwanzoni mwavyazo ili maji yakitoka kwenye bwawa watu watumie maji.
Watu wa Usangu watakufa Sana na huu utaratibu wakuhamisha
Nilijua tuu Chadomo lazima mhamie huku..Hali ni yeye. Jafo na Awesu Mungu anawaona mjue
Akili za funzaChief hangaya amekataliwa kuzimu na mbinguni
Na bado yule dikteta alikata miti zaidi ya mil.2.5 hifadhini eti anajenga Bwawa..Itatuchukua muda sana ili tuweze kupata Umeme kupitia Bwawa la Nyerere! hata kama usimikaji wa mitambo kukamilika!
Dikteta dikteta dikteta ameimaliza Nchi..Nimewahi kuwauliza watu hii issue kweli kabisa tumeamua ku abandon umeme wa gesi na kuja huku kwenye maji ambako tunajua kwamba climate change is real??
Wachimbe maji wawasaidie Hawa Wanyama,kina Aweso si walisema wamenunua mitambo ya kuchimba visima?Hii ni huko Katavi NP...Ziwa Katavi pia limekauka na Mto Katuma sehemu nyingine umekauka... View attachment 2405570View attachment 2405571
Mkuu unamaanisha CCM auMuovu akitawala!....
Nope Tatizo ni kuwa na mawazo kama yako...Laana ya magufuli kuongoza hii nchi.