Hali ya maji Mto Ruaha Mkuu ni mbaya, zimetimia siku 80 bila kutiririsha hata tone la maji

Nchi hii watu wa Usangu naona Hawana mchango wowote. Wanyama wanathaminiwa kuliko wao.
aliyeumba dunia na mbingu alipanga kila kitu kiwe wapi,bahari iwe wapi,ndege wawe wapi,barafu iwe wapi,wazungu wawe wapi,wahindi wawe wapi,ndio tutajua kuwa hatujui.
 
Acha makasiriko asubuhi yote hii
Sina makasiriko na serikali ya mama, hata maji yasitoke mwaka mzima tuwe tunatumia ya visima, Ni Bora kuliko utawala wa yule kiumbe, kuwa na amani ya kibiashara na ya uhakika wa uhai, is best kuliko kila kitu
 
Hivyo visima viko wapi?
Biashara bila maji inawezekana vipi?
Kama ulikosa uhakika wa uhai wako kipindi kile basi wewe ni JAMBAZI
 
Sina makasiriko na serikali ya mama, hata maji yasitoke mwaka mzima tuwe tunatumia ya visima, Ni Bora kuliko utawala wa yule kiumbe, kuwa na amani ya kibiashara na ya uhakika wa uhai, is best kuliko kila kitu
Amani ya kibiashara yenye tozo za kila aina.
 
Dikteta alikuwa muovu na muuaji, kashapotelea mavumbini
Ni kiburi cha kibinadamu tu ndo maana umejikaza kusema hivi ila geuka unavyogeuka ukijitizama hali yako ya maisha na upatikanaji wa mahitaji yako ya msingi ya kila siku kuna kitu kinakwambia "bora miaka minne nyuma hali ilikuwa nzuri"
 
Itatuchukua muda sana ili tuweze kupata Umeme kupitia Bwawa la Nyerere! hata kama usimikaji wa mitambo kukamilika!
Tusipo kuwa waangalifu hili linaweza kupelekea mradi huo kuwa hauna faida. Lazima serikali ilichukulie swala hili kwa umakini ili maji yatiririke ipasavyo kuelekea bwawani.
 
Kuna viongozi hawana sababu ya kuwepo
Wenzetu Kenya Kila mbuga ya wanyama Ina mabwawa kwa ajili ya dharura
Mlete maji kutoka kwenye nyanzo vingine wanyama wanywe. Story nyingi hazina maana kwa Sasa. Tz maneno mingi sana
 
Wanyama hao ambao wamepewa thamani kubwa sana hapa nchini nao wanaingiza asilimia kwenye pato la Taifa....mngewajengea mabwawa mengimengi huko mbugani kwa pesa zao ili kukabiliana na dharula kama hizi
 
Na huu mto ni chanzo kikubwa cha mto Rufiji...
 
Sisi huku hatuna shida ya maji,tuna maji ya bomba,pia tuna maji ya mito mikubwa,achana na maji ya kwenye mitaro ambayo tunainyeshea migomba na miwa,raha sana machame karibuni
 
Nau fahamu vizuri huu mto Kama umefikia hatua hiyo Ni hatarii nashauri serikali ichukue hatua nzito nzito ili kuhakikisha Hari Kama hii haiji rudiii Tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…