Hali ya mazao ya chakula katika mikoa mbalimbali

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Tupia picha kuonyesha hali ya mazao ya chakula yanavyoonekana shambani sehemu unayoishi. Lengo ni kutaka kujua hali ya mvua na ukame katika mikoa mbalimbali.

Karibuni.

Hapa ni mkoa wa Iringa maeneo ya Tosamaganga njia panda. Kwa ujumla Sehemu kubwa ya maeneo ya Iringa mvua zimenyesha vizuri na mazao yanaendelea vzr "regardless" jua kali la mwezi February.
 

Hii ni camera ya simu gani mkuu maana kali kinoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…