Hali ya mazao ya chakula katika mikoa mbalimbali

Hali ya mazao ya chakula katika mikoa mbalimbali

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Tupia picha kuonyesha hali ya mazao ya chakula yanavyoonekana shambani sehemu unayoishi. Lengo ni kutaka kujua hali ya mvua na ukame katika mikoa mbalimbali.

Karibuni.

Hapa ni mkoa wa Iringa maeneo ya Tosamaganga njia panda. Kwa ujumla Sehemu kubwa ya maeneo ya Iringa mvua zimenyesha vizuri na mazao yanaendelea vzr "regardless" jua kali la mwezi February.
20230308_134421.jpg
20230308_133958.jpg
 
Tupia picha kuonyesha hali ya mazao ya chakula yanavyoonekana shambani sehemu unayoishi. Lengo ni kutaka kujua hali ya mvua na ukame katika mikoa mbalimbali.

Karibuni.

Hapa ni mkoa wa Iringa maeneo ya Tosamaganga njia panda. Kwa ujumla Sehemu kubwa ya maeneo ya Iringa mvua zimenyesha vizuri na mazao yanaendelea vzr "regardless" jua kali la mwezi February.View attachment 2567953View attachment 2567954 camera ni ya simu gani kali sana

Tupia picha kuonyesha hali ya mazao ya chakula yanavyoonekana shambani sehemu unayoishi. Lengo ni kutaka kujua hali ya mvua na ukame katika mikoa mbalimbali.

Karibuni.

Hapa ni mkoa wa Iringa maeneo ya Tosamaganga njia panda. Kwa ujumla Sehemu kubwa ya maeneo ya Iringa mvua zimenyesha vizuri na mazao yanaendelea vzr "regardless" jua kali la mwezi February.View attachment 2567953View attachment 2567954
Hii ni camera ya simu gani mkuu maana kali kinoma.
 
Back
Top Bottom