Hali ya mazingira CHADEMA Makao Makuu inatutia aibu wanachama

Hali ya mazingira CHADEMA Makao Makuu inatutia aibu wanachama

Bro simama af jipige kifua mara tatu ili upunguze makasiriko ujibu hoja.
hoja ipi nijibu yani nijadir ofis ya chadema na zito niache kushughulikia wapumbavu wanaopora mabillion ya kodi tunazolipa wananchi kutokana na ufisadi wa ccm, kama unakereka kimbia jf lakin ukiendelea kuwepo utapata stress hadi ufe maana ndio kwanza nimeanza upya baada ya shughuli zangu za kila siku so narudia tena jiunge na zito dhidi ya chadema muone tutakavyowanyoosha wapuuz nyinyi.
 
🤣🤣🤣 Mnyika
tena huyu ndo leo alikuepo pale kwenye press nje ya ofisi. Mh Mnyika jibu swali why ofisi ipo vile? Ile podium uliyotumia leo vipi umeionaje? Vp ule ukuta ulio kua nyuma kama ukuta wa bafu la uswazi?(samahani nafananisha jinsi ulivyo) af kwa nyuma mmeweka mabango meupe ya chama mmegandisha kwnye vimbao upepo unapuliza yanayumba ukuta unaonekana.! Yani pale mvua ingenyesha kikao kingeingia nzi. Badilikeni mnakera sana. Hivi hata hata hao wabunge marafki zenu wa ulaya na vyama vyao wakiona ndo ofisi yenu ipo hivi watawadharau sana. Nawasilisha. No hate no fear.
 
😯😯
 
Mitaa iliyojengwa kwa mpangilio wa kisasa na mzungu, serikali ya CCM imeivuruga kabisa, kinondoni A imekua kama kijiji kilichochangamka

Imetiwa lami kipande kidogo sana, upande wa kuelekea Biafra...lakini kilipoanza tu kibao kinachoonesha mtaa wa Ufipa ni udongo hadi kule ilipo barabara ya kwenda Makaburini/Manyanya...
 
Wewe kinyambaranyogori jibu hoja usilete mihemko apa!

Smalls minds discuss people/things.

Jikite kwenye hoja za mnyika ,kwenye jengo hilo hilo lililochoka ndipo walipotoka maboss wako kina Zitto,Kitila.

Jengo hilo hilo lililochoka ndipo wapo Kina Lissu,Heche,Wenje,Pambalu,Twaha,Kigaila,Mrema,Sugu ect ambao Heche peke yake ana mchango mkubwa kuliko wabunge wenu hao 300 miojazana Bungeni.
 
kwamba hili andiko lako la kijinga litazima kujiuzulu kwa Kasimu ?
Ajiuzulu asijiuzulu halinihusu swala zima ni jibu kwanza hoja hapo juu na maswali mengine pitia comments nimemuulza mnyika mwenyewe labda kama ndo kakuagiza ujibu hivi kwa niaba yake
 
umeshindwa kujadir ufisadi wa serikali yenu ya ccm uliokubuhu uje ujadir ofisi ya chadema ulitaka na chadema ifanye ufisadi ili ijenge ofisi kama ambavyo huwa mnafanya huko lumumba, unamzungumzia zito ukimuhusianisha na chadema jibu ni kwamba jiungeni na zito dhidi ya chadema muone kama mtaiweza kama alishindwa shetan akaishia kufa sembuse masalia yaliyobaki kulinda legacy ya kipumbavu.
Hujawahi kuwa na akili dada. Kila muda mihemko. Kajengeni ofisi. Nincompoops.
 
Yani kufupi tu tunataka Mfumo mpya na sio huo wa Sasa , tunahitaji Katiba mpya , tumeibiwa Sana na Hawa watu , wa ccm n wapuuzi wote , Yani hastahili hata mmoja kuwepo ,

Let's focus na Mambo hayo ya msingi
Story sijui ya ofisi ni Mambo ya kawaida tu na hayana shida c heri hata wasio na ofisi kuliko hao wanaoiba mabilioni ya walipa Kodi kila mwaka na haKuna hatua zozote , kazi kulindana ,

Maaaamaeeeeeeeee

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Makala yako inaonyesha jinsi ilivyokuwa rahisi kwa wanasiasa kuwa mabingwa wa kuikosoa serikali bila wao kuonyesha mfano kwa matendo na utawala bora. Chama kama Chadema kilichopokea mabilioni ya pesa za walipakodi ktk zaidi ya miaka 20 ya uhai wake kimeshindwaje mpk sasa kuendesha shughuli zake ktk jengo lenye hadhi na mazingira bora?
Jinsi leo Mnyika anavyowakosoa watendaji wa serikali kwa ufujaji wa fedha za umma ndivyo na yeye na viongozi wenzake wa Chadema wanavyostahili kusutwa. Nyote ni wafujaji sema Chadema hamjapata fursa ya kufuja zaidi.
Ni kweli kabisa bro! Yani miaka yote ya kuchukua ruzuku ka ofisi ndo kale jamani khaa! Hi ifike mwisho sasa, la sivyo na wao watakua wanalamba asali za sie wanacham
 
Yani kufupi tu tunataka Mfumo mpya na sio huo wa Sasa , tunahitaji Katiba mpya , tumeibiwa Sana na Hawa watu , wa ccm n wapuuzi wote , Yani hastahili hata mmoja kuwepo ,

Let's focus na Mambo hayo ya msingi
Story sijui ya ofisi ni Mambo ya kawaida tu na hayana shida c heri hata wasio na ofisi kuliko hao wanaoiba mabilioni ya walipa Kodi kila mwaka na haKuna hatua zozote , kazi kulindana ,

Maaaamaeeeeeeeee

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
jibu hoja bwana kashande! Katiba inavyo kuja itukute na ofisi ya hadhi yetu. Mabadiriko yaendane na sisi kubadirika
 
Makala yako inaonyesha jinsi ilivyokuwa rahisi kwa wanasiasa kuwa mabingwa wa kuikosoa serikali bila wao kuonyesha mfano kwa matendo na utawala bora. Chama kama Chadema kilichopokea mabilioni ya pesa za walipakodi ktk zaidi ya miaka 20 ya uhai wake kimeshindwaje mpk sasa kuendesha shughuli zake ktk jengo lenye hadhi na mazingira bora?
Jinsi leo Mnyika anavyowakosoa watendaji wa serikali kwa ufujaji wa fedha za umma ndivyo na yeye na viongozi wenzake wa Chadema wanavyostahili kusutwa. Nyote ni wafujaji sema Chadema hamjapata fursa ya kufuja zaidi.
chadema lini imepewa hati chafu na CAG kwa ufujaji wa pesa za ruzuku au unafikir wewe ukiandika kuwa chadema imefuja pesa za ruzuku kuna mtu atakuamin labda wapumbavu wenzio huko ccm ndio watakuamin ambako hujawahi kujua ruzuku chama chako kinapokea ngapi na matumiz yake yakoje hata chongolo mmeshindwa kumuuliza mmekalia ruzuku ya chadema kama sio upumbavu ni nini ndio maana Samia baada ya kuwaona akili zenu za kipoyoyo akawaletea tetez la mashoga maana ndio kazi mnayoiweza.
 
sabodo alikuwa anachangia mashoga ya ccm na wapumbavu wa sukuma gang na hajawahi kuichangia chadema kama kuna mtu anaamin kuwa sabodo aliichangia chadema naye ni mpumbavu na atakuwa roporopo akiulizwa maswali yafuatayo hatakuwa na majibu,
1. sabodo alichangia chadema lini.
2. sabodo alichangia chadema kwa njia ipi, cash,bank, mobile
3. sabodo alithibitisha lini kuwa ameichangia chadema.
Endapo majibu hayatapatikani kutoka kwa anayesema chadema ilichangiwa na sabodo nitaendelea kusema ni bora mheshimiwa samia aendelee kuwaletea tetez la mashoga ili muendeleze ushoga tu maana ndio kazi mnayoiweza imbeciles.
Wewe usijikute mjuaji uliza kwanza kabla ya kuja kuccoment apa! Sabodo kashawah kuchangia chadema na mbowe akamshukuru hadi kwe taarifa ya habari iliruka. Sijui ulikua bado sio mwanachadema!?
 
Moja kwa moja niende kwenye mada, leo nimebahatika kuangalia uchambuzi wa ripoti ya CAG uliofanywa na mh.Mnyika!

Uchambuzi sina shida nao tatizo ni yale mazingira ilipo fanyika press. Yani wameweka meza nje afu nyuma ya ukuta umechoka balaa, podium yenyewe imepauka pauka yan leo ndo nimejua hadi mbao nayo inapuka kha!!

Bendera iliyopo nje ya ofisi kwenye mlingoti imepauka pau hadi imechanika kwenye pindo, hiyo ofisi ndo sitaki kuiongelea ilivyo, imechoka haifananii hadhi ya headquater!

Yani hata bati tu kurudia rangi mmeshindwa viongoz! Bati ilipakwa rangi nyekundu ila now ni damu ya mzee iliyo na mikwaruzo aibu viongozi! Mnafeli wapi?

Mbona zito na chama chake wameweza? Mambo ya majibu ya sijui chadema ofisi zipo miyoyoni mwetu wanachama hatutaki kuzikubali mnatudhalilisha!

Kama mmeshdwa itisheni mchango tuchange hatushindwi kuchanga hela likajengwa jengo lenye hadhi ya chama chetu.

Mwisho huu ni mtazamo na ushauri, usije kujibu hapa kwa mihemko jibu hoja.

Nawasilisha
Hayo mazingira ni cameraproof?
 
035ce4d3-e4b6-4b6a-958b-1aebf5630071.jpg
 
Back
Top Bottom