Hali ya mazingira CHADEMA Makao Makuu inatutia aibu wanachama

Hali ya mazingira CHADEMA Makao Makuu inatutia aibu wanachama

sabodo alikuwa anachangia mashoga ya ccm na wapumbavu wa sukuma gang na hajawahi kuichangia chadema kama kuna mtu anaamin kuwa sabodo aliichangia chadema naye ni mpumbavu na atakuwa roporopo akiulizwa maswali yafuatayo hatakuwa na majibu,
1. sabodo alichangia chadema lini.
2. sabodo alichangia chadema kwa njia ipi, cash,bank, mobile
3. sabodo alithibitisha lini kuwa ameichangia chadema.
Endapo majibu hayatapatikani kutoka kwa anayesema chadema ilichangiwa na sabodo nitaendelea kusema ni bora mheshimiwa samia aendelee kuwaletea tetez la mashoga ili muendeleze ushoga tu maana ndio kazi mnayoiweza imbeciles.
Naona kuwa nyumba ndogo ya mwenyekiti kumekufanya usifatilie historia ya waliochangia chama tangu miaka hiyo mpaka leo.

Sawa penzi lako kwa mwenyekiti na chama chake vinaweza kukufanya usijue kinachoendelea, lkn hata picha iliyowekwa inakufanya pia usione. Ama kweli kupenda ni upofu. Umepagawa na penzi la mwenyekiti mpaka unashindwa kuona wanaompa msaada wa chama chake pichani!!
 
Mkuu usichukie, just kuwa na subira. Msemaji mkuu wa Chadema hapa JF ndugu Erythrocyte atakuja kutolea maelezo kuhusu ile M100 aliochangia Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi.
Hiki ndio chama ambacho kinadai kitatuletea maendeleo.

Vuta subiri mwana ufipa mwenzangu.
Unatuonyesha jengo la Act wasaliti kwn umeambiwa ni lao ??
 
Moja kwa moja niende kwenye mada, leo nimebahatika kuangalia uchambuzi wa ripoti ya CAG uliofanywa na mh.Mnyika!

Uchambuzi sina shida nao tatizo ni yale mazingira ilipo fanyika press. Yani wameweka meza nje afu nyuma ya ukuta umechoka balaa, podium yenyewe imepauka pauka yan leo ndo nimejua hadi mbao nayo inapuka kha!!

Bendera iliyopo nje ya ofisi kwenye mlingoti imepauka pau hadi imechanika kwenye pindo, hiyo ofisi ndo sitaki kuiongelea ilivyo, imechoka haifananii hadhi ya headquater!

Yani hata bati tu kurudia rangi mmeshindwa viongoz! Bati ilipakwa rangi nyekundu ila now ni damu ya mzee iliyo na mikwaruzo aibu viongozi! Mnafeli wapi?

Mbona zito na chama chake wameweza? Mambo ya majibu ya sijui chadema ofisi zipo miyoyoni mwetu wanachama hatutaki kuzikubali mnatudhalilisha!

Kama mmeshdwa itisheni mchango tuchange hatushindwi kuchanga hela likajengwa jengo lenye hadhi ya chama chetu.

Mwisho huu ni mtazamo na ushauri, usije kujibu hapa kwa mihemko jibu hoja.

Nawasilisha
Hacha kujitoa akili chadema kimepitia maisha magumu sana miaka yote ya mzee wachato huyo mzee alitaki kife lakini kafa yeye
 
umeshindwa kujadir ufisadi wa serikali yenu ya ccm uliokubuhu uje ujadir ofisi ya chadema ulitaka na chadema ifanye ufisadi ili ijenge ofisi kama ambavyo huwa mnafanya huko lumumba, unamzungumzia zito ukimuhusianisha na chadema jibu ni kwamba jiungeni na zito dhidi ya chadema muone kama mtaiweza kama alishindwa shetan akaishia kufa sembuse masalia yaliyobaki kulinda legacy ya kipumbavu.
Kwani ruzuku juzi si mmechukua kwani Act wazalendo wamejenga ofisi yao walifanya ufisadi wapi?
 
Back
Top Bottom