Hali ya mazingira CHADEMA Makao Makuu inatutia aibu wanachama

Naona kuwa nyumba ndogo ya mwenyekiti kumekufanya usifatilie historia ya waliochangia chama tangu miaka hiyo mpaka leo.

Sawa penzi lako kwa mwenyekiti na chama chake vinaweza kukufanya usijue kinachoendelea, lkn hata picha iliyowekwa inakufanya pia usione. Ama kweli kupenda ni upofu. Umepagawa na penzi la mwenyekiti mpaka unashindwa kuona wanaompa msaada wa chama chake pichani!!
 
Unatuonyesha jengo la Act wasaliti kwn umeambiwa ni lao ??
 
Hacha kujitoa akili chadema kimepitia maisha magumu sana miaka yote ya mzee wachato huyo mzee alitaki kife lakini kafa yeye
 
Mitaa iliyojengwa kwa mpangilio wa kisasa na mzungu, serikali ya CCM imeivuruga kabisa, kinondoni A imekua kama kijiji kilichochangamka
Kweli ccm akifai kabisa
 
Kwani ruzuku juzi si mmechukua kwani Act wazalendo wamejenga ofisi yao walifanya ufisadi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…