Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Fundi manyumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
3,799
Reaction score
8,063
Wasalam Ndugu jamaa na marafiki.

Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria nimeamini mjini pazito πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ.

Mjini pazito aiseee, yaani nilijua nikishapata biashara ndio nishamaliza kumbe bado kuna kusugua sana.

Mjini pazito nyie watu hawana huruma kabisa. Bora ningebaki mkoani huko.

Ila ngoja nikaze hivi hivi mpaka kieleweke kikubwa tunapata cha halali.

Kuna time unapitia hata hamu za wanawake unakuwa huna kabisa kutokana na ugumu wa life hapa Dasalamu.

Mjini pazito πŸ™Œ πŸ™Œ πŸ™Œ πŸ™Œ
 
Mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…