Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Mungu atupiganie aisee inafika stage mpaka kuwa na manz unaona jau sababu ukishamuingiza tu kwenye maisha yako lazima akuvurugie mipango
Mkuu wee acha. Hata hawa wafanya biashara ni wa kuwaheshimu sana.
Mkuu wanapitia mambo magumu sana mjini hapa..
Hii cycle nilikua siijui ila sasa nimeingia hapa ngoja nikomaeee hv hvo
 
Wasalam.
Ndugu jamaa na marafiki.
Hali ya mjini hapa dasalama ni tofauti na nilivofikilia nimeamini mjini pazito 🙌🙌🙌🙌.

Mjini pazito aiseee. yaani nilijua nikishapata biasahara ndo nishamaliza kumbe bado kuna kusugua sana.

Mjini pazito nyie watu hawana huruma kabisa. Bora ningebaki mkoani huko.

Ila ngoja nikaze hivi hivi mpaka kieleweke kikubwa tunapata cha halali....

Kuna time unapitia hata hamu za wanawake unakua huna kabisa kutokana na ugumu wa life hapa dasalamu.

Mjini pazito 🙌 🙌 🙌 🙌
= nilivyofikiria.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom