Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Ukiskia dunia haina huruma basi jua ni mjini hasa daslam.

Huu mji watu hawana huruma, no kujuana sana. Wazawa wanajua kuishi kwa code ila wageni hupigwa mno na wakuja wenzao maana wanajuana madhaifu yao.

Ishi kwa code.
Yaani watu wana roho mbya huku mkuu...
Mpaka najuta kwanini nimekuja huku ila nachoona ukijua kucheza na psychology za watu basi ushamaliza
 
Back
Top Bottom