Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Mimi huwa nikifika kule nakaa nawaangalia sana yani unakuta mtu yupo na simu tu anazuga kwenye maduka mara hapa mara kule ila kufika jion mwamba anaondoka na hela ndefu halafu yupo smart mbayaDaaha mkuu tunapambana hivo hivi Mungu yupo pamoja na sisi vijana.
Ila hali niliyoiona hata kule kariakoo.
Mkuu pesa zipo na kwenye watu ndo pesa zinapatikana ila sasa zinapatikana vipi hapo ndo code zilipo