Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Grahams njo utie neno mkuu.
Njo utupe hamasa vijana wako huku
Hongereni Mkuu kupambana

Ni kweli maisha ya Mjini yapo tight sana ukifanya ulinganishi na maisha ya Mikoani.

Mathani Kwa DSM, ni kawaida kukuta Kodi ya pango Kwa Chumba na Sebule kuwa shilingi 150,000 hadi 200,000. Wakati Kwa baadhi ya mikoa Kwa gharama hiyo unachukua nyumba nzima ama Vyumba viwili na sebule yenye Kila kitu ndani.

Kwahiyo ili uendane na maisha ya Mjini huna budi kuwa na shughuli zaidi ya Moja za kujiongezea kipato mathalani umeajiriwa lakini pia una biashara zako ndogo ndogo za kuongeza kipato. Bila kusahau kuongeza nidhamu ya Matumizi yako binafsi

Ndiyo maana Kwenye Majiji ya Nchi zilizoendelea unakuta mtu mmoja anafanya kazi Taasisi hata tatu Kwa Siku ili kujiongezea kipato chake binafsi. Uzuri wa kule wanalipa Kwa masaa tofauti na huku Bongoland πŸ™Œ
 
Wasalam.
Ndugu jamaa na marafiki.
Hali ya mjini hapa dasalama ni tofauti na nilivofikilia nimeamini mjini pazito πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ.

Mjini pazito aiseee. yaani nilijua nikishapata biasahara ndo nishamaliza kumbe bado kuna kusugua sana.

Mjini pazito nyie watu hawana huruma kabisa. Bora ningebaki mkoani huko.

Ila ngoja nikaze hivi hivi mpaka kieleweke kikubwa tunapata cha halali....

Kuna time unapitia hata hamu za wanawake unakua huna kabisa kutokana na ugumu wa life hapa dasalamu.

Mjini pazito πŸ™Œ πŸ™Œ πŸ™Œ πŸ™Œ
Kaza weweeeee,Dar ni Dar tu
 
Next time uwe unauliza , hata mikow ya watu wengine unatakiwa ujue flow ya cash ikoje. Otherwise utaendelea kuteseka.

Karibu mjini
 
Hongereni Mkuu kupambana

Ni kweli maisha ya Mjini yapo tight sana ukifanya ulinganishi na maisha ya Mikoani.

Mathani Kwa DSM, ni kawaida kukuta Kodi ya pango Kwa Chumba na Sebule kuwa shilingi 150,000 hadi 200,000. Wakati Kwa baadhi ya mikoa Kwa gharama hiyo unachukua nyumba nzima ama Vyumba viwili na sebule yenye Kila kitu ndani.

Kwahiyo ili uendane na maisha ya Mjini huna budi kuwa na shughuli zaidi ya Moja za kujiongezea kipato mathalani umeajiriwa lakini pia una biashara zako ndogo ndogo za kuongeza kipato. Bila kusahau kuongeza nidhamu ya Matumizi yako binafsi

Ndiyo maana Kwenye Majiji ya Nchi zilizoendelea unakuta mtu mmoja anafanya kazi Taasisi hata tatu Kwa Siku ili kujiongezea kipato chake binafsi. Uzuri wa kule wanalipa Kwa masaa tofauti na huku Bongoland πŸ™Œ
Daaah mkuu ni kweli kabisa huku mjini bana ni vile tuna kaa kufata tittle ila hali halisi ndio hvo.

Japo mikoani napo daaah kutoboa kule ni hatari.

Hapa mjini uwezi kuta mtu ana teseka miaka na miaka.
Unapitia kipindi kidogo tu cha kukufunza baada ya hapo unaanza kula matunda ya dunia
 
Daaah mkuu ndo pa kupea code hapa maana wengine tumevamia tuu baada ya kuondoka kwa mda mrefu ila huku ndo kwetu
 
Hongereni Mkuu kupambana

Ni kweli maisha ya Mjini yapo tight sana ukifanya ulinganishi na maisha ya Mikoani.

Mathani Kwa DSM, ni kawaida kukuta Kodi ya pango Kwa Chumba na Sebule kuwa shilingi 150,000 hadi 200,000. Wakati Kwa baadhi ya mikoa Kwa gharama hiyo unachukua nyumba nzima ama Vyumba viwili na sebule yenye Kila kitu ndani.

Kwahiyo ili uendane na maisha ya Mjini huna budi kuwa na shughuli zaidi ya Moja za kujiongezea kipato mathalani umeajiriwa lakini pia una biashara zako ndogo ndogo za kuongeza kipato. Bila kusahau kuongeza nidhamu ya Matumizi yako binafsi

Ndiyo maana Kwenye Majiji ya Nchi zilizoendelea unakuta mtu mmoja anafanya kazi Taasisi hata tatu Kwa Siku ili kujiongezea kipato chake binafsi. Uzuri wa kule wanalipa Kwa masaa tofauti na huku Bongoland πŸ™Œ
Babu umesema kweli, kuna nyumba tumepangisha 200,000 mkoani ina kila kitu nyumba nzima..!! Nafikiria ingekuwa huku ingenilipa, unaishia kuikopea bank.
 
Daaah mkuu ni kweli kabisa huku mjini bana ni vile tuna kaa kufata tittle ila hali halisi ndio hvo.

Japo mikoani napo daaah kutoboa kule ni hatari.

Hapa mjini uwezi kuta mtu ana teseka miaka na miaka.
Unapitia kipindi kidogo tu cha kukufunza baada ya hapo unaanza kula matunda ya dunia
Kweli Mkuu

Wanasema Mjini Mipango
 
Back
Top Bottom