Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

1000416237.jpg
 
Sahihi Mjukuu, shida ya Mikoani hakuna Mzunguko mkubwa wa hela kama ilivyo hapa DSM.

Binafsi nimeachana na biashara ya nyumba za Kupangisha, bora nijikongoje hata miaka 5 kujenga Lodge/Guest Houses tu kuliko nyumba za Kupangisha
Mzee mwenzangu,
Umri wetu huu ni kuwa makini na stress tunazozichagua. Usifanye biashara ya kukupa stress. Jamaa yangu alikaa chini akawazaaaa..akaamua kufungua liquor store..mzee hata huko walimpiga. Vijana wanaleta pombe zao kuuza. Mzee anaona shelves zimejaa...kumbe wajanja washafanya yao.
Kama Fundi manyumba alivosema...mji mzito sana.

Biashara ya lodge...itabidi ukae hapo. Vinginevyo utapigwa tuu na wenye nguvu za kukimbia.
 
Dar es salaam ni pagumu ukiwa hujishughulishi na kazi yoyote halali lakini ni sehemu nzuri sana pa kupata mafanikio Kwa haraka sababu ya mzunguko mkubwa wa watu.Ni kukomaa hapa hapa hadi kieleweke.
Shughuli ninayo mkuu lakini sasa hapa nilipo mpaka kutafuta jina na kufanya mtaa ukuelewe ni kazi nyingine mkuu
 
Mzee mwenzangu,
Umri wetu huu ni kuwa makini na stress tunazozichagua. Usifanye biashara ya kukupa stress. Jamaa yangu alikaa chini akawazaaaa..akaamua kufungua liquor store..mzee hata huko walimpiga. Vijana wanaleta pombe zao kuuza. Mzee anaona shelves zimejaa...kumbe wajanja washafanya yao.
Kama Fundi manyumba alivosema...mji mzito sana.

Biashara ya lodge...itabidi ukae hapo. Vinginevyo utapigwa tuu na wenye nguvu za kukimbia.
Na kuna biashara ukifanya bila kusimamia mwnywe utoboi.
Kuna rafiki angu alikua anasajiri laini ila sasa kaacha ameamua kwenda zanzibar anasema biashara za laini na vocha bora uwe unatengeneza vocha zako
 
Sahihi Mjukuu, shida ya Mikoani hakuna Mzunguko mkubwa wa hela kama ilivyo hapa DSM.

Binafsi nimeachana na biashara ya nyumba za Kupangisha, bora nijikongoje hata miaka 5 kujenga Lodge/Guest Houses tu kuliko nyumba za Kupangisha
Mkuu ukijenga hiyo lodge naomba nipate ata usimamizi hapo nipo vizuri
 
Unatoa msaada kulingana na ulichonacho, msaada town hautolewi kindezi.

Mimi nna buku, hilo buku ndo nalitegemea kwa msosi how comes nikusave wewe mimi ntakula nini??
Mama ntilie wenyewe msosi wa buku hataki hata ipelee mia mbovu...
Daah kweli wewe jamaa mtata aiseee
 
Back
Top Bottom