Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MALIPO NI Baada YA kazi༒ⁱᵃᵐ∫ John Magige༒
Till ya airtel money Natoa kwa shilingi elfu
10000 /= tuuu hii ni Offer ya leo!
VIGEZO
Namba ya Airtel
Picha ya TIN number certificate
Piga 0750319051 📞 View attachment 3024075
Ukiona una shida sana, doubt uwezo wako wa kifikiri.Daaha mkuu yaani kuna kipindi hadi nikawa nasema au shida nimelogwa.
Ila nikagundua hapana ni vile show kali tuu
Daaah sawa sawa..Sasa hy tuachie sisi wenyewe, ht ww una busara ila ukiwa na mtu wako ndani busara inageuka kuwa hasara
Unajikuta natural tuu unaokota makopo mkuu sio ahahhaMji wa kishenzi huu unaweza kuokota makopo bila kutarajia
Mkuu wewe ndo kiongozi wetu kwa watu wa kupambana wote aiseeeInspector Haroun (Track: Nje Ndani)
"Haujawahi kusikia mtu kalala na njaa ndani ya Paris Ufaransa..?"
Mkuu wee acha tuu..Ukiona una shida sana, doubt uwezo wako wa kifikiri.
Mwanzo nilidhani ni dhihaka ila kiukweli ukiona huwezi tatua shida zako, basi akili yako ina shida mahali
Mbona unatuma matangazo kwa uzi wangu bila hata kunitaarifu...Naam kaka, nimekosea wapi🙏
Samahan kaka, naomba uniwie radhi.Mbona unatuma matangazo kwa uzi wangu bila hata kunitaarifu...
Mbona unataka kufanya mjini pawe pazito zaidi
Mkuu shukrani sana aiseee .Nimependa hapa uliposema:
Ila ngoja nikaze hivi hivi mpaka kieleweke kikubwa tunapata cha halali....
Keep pushing bro you're almost there
Uwe na amani mkuu tupo pamoja sana 👊👊👊👊Samahan kaka, naomba uniwie radhi.
Nimezaliwa hapo kizuiani mkuu.Rudi makwenu
Wewe na Lucas Msandambwa mmezaliwa pamojaInategemeana na Bahati ya mtu, mfano mimi nilianzisha biashara ya kuuza madafu, baada ya mwezi nikapata tenda ya kuuza madafu ikulu. Ikulu dafu moja wananunua laki 3 .