Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Kaka acha uongo Tanzania maisha sio Dar tu!
Wengi wa vijana ni malimbukeni sana na wengi hawana ndoto wanaishi maisha ya kusadikika!
Dar ni mkoa kama mikoa mingine utofauti wa Dar ni jinsi gani unafanya kazi zako!
Nikukumbushe sehemu kubwa ya shughuli za Dar zinakonection na mikoani kwa hiyo Dar is nothing bila mikoa mingine!
Juzi kati tu hapa Kahama imeongoza Tanzania kwa makusanya ya kikodi unasemaje Dar ni bora kuliko Kahama wakati hata Dar unayokaa ni Mbagala au Kigogo!
Wewe upo wapi mkuu
 
Tenga muda wa kuzungumza na mamlaka yako ya juu higher power

Jitahidi uwe mtoaji.

Baada ya hapo be positive usilalamike kwa lolote DSM is cool area everybody can make rich.
Yaaah mkuu najitahidi kufanya hivo mkuu...
Wanasema ukiwa unawaza sana negative hata matokeo yatakua hv hvo negative mana issue kubwa hapa ni mind tu ni jinsi gani una i command...

Mi mamlaka yangu ya juu ni my mind mkuu
 
Back
Top Bottom