Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Mzee mwenzangu,
Umri wetu huu ni kuwa makini na stress tunazozichagua. Usifanye biashara ya kukupa stress. Jamaa yangu alikaa chini akawazaaaa..akaamua kufungua liquor store..mzee hata huko walimpiga. Vijana wanaleta pombe zao kuuza. Mzee anaona shelves zimejaa...kumbe wajanja washafanya yao.
Kama Fundi manyumba alivosema...mji mzito sana.

Biashara ya lodge...itabidi ukae hapo. Vinginevyo utapigwa tuu na wenye nguvu za kukimbia.
Umesema sahihi Mkuu, kwenye ule Uzi wangu wa biashara ya Lodge nilieleza changamoto ya upigaji Kwa wasimamizi

Walau kwasasa nimedhibiti wizi wa hao Vijana ndiyo maana nimepata nguvu ya kuanzisha nyingine.

Nitaleta Mrejesho wake hapa 💪
 
Yaaah mkuu najitahidi kufanya hivo mkuu...
Wanasema ukiwa unawaza sana negative hata matokeo yatakua hv hvo negative mana issue kubwa hapa ni mind tu ni jinsi gani una i command...

Mi mamlaka yangu ya juu ni my mind mkuu



Yes be positive
Connect ur self with the higher power (God /universe and etc

Practice gratitude /jizoeze kushukuru sema Asante kila Leo.
 
Wasalam Ndugu jamaa na marafiki.

Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria nimeamini mjini pazito 🙌🙌🙌🙌.

Mjini pazito aiseee, yaani nilijua nikishapata biashara ndio nishamaliza kumbe bado kuna kusugua sana.

Mjini pazito nyie watu hawana huruma kabisa. Bora ningebaki mkoani huko.

Ila ngoja nikaze hivi hivi mpaka kieleweke kikubwa tunapata cha halali.

Kuna time unapitia hata hamu za wanawake unakuwa huna kabisa kutokana na ugumu wa life hapa Dasalamu.

Mjini pazito 🙌 🙌 🙌 🙌
Ok
 
Juma toto iko kunya nenda tawaza,juma iko nyanya isha enda nunua,juma kitoka sokon osha gari,juma iko peleka mama jamatini,juma nenda beba toto shule
Ahahahahahah kmmke wale mbwa wale hapana aiseeee.
Hata viwandani moto ule ule mkuu daaah
 
Back
Top Bottom