Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Mkuu nilifungua biashara ya chips mjini uko ila mambo hayajaniendea vizuri nimeamua nifunge nianze biashara nyingine tu..

Location Na vifaa naviuza kwa anaehitaji anicheki PM tuyajenge ntamfanyiaa ofa baadhi ya vitu
Mkuu kwanini usikomae tuu
 
Mkuu wanasema kama ukoo wenu ni masikini basi kukwepa hiyo chain ni ngumu aiseer
Yeah inahitaji sacrifice,maana shida inayokuja kwanza unapambana kwa kutumia nguvu nyingi bila ya kuwa na connection yoyote ili utoboe uwainue ndugu zako lakini cha ajabu ndugu zako watakuwa wanakuvuta nyuma kimaendeleo usiwazidi ili muwe sawa.
 
Mkuu ila hapa mjini hapa.
Sijui wengine wanaloga..
Daaah Braaaandeeee
Kuna vitu ukiviwazia sana unaweza ukadata hivi ushawahi kuwaza kwa mfano uko na biashara unauza unaamka asubuhi sana saa kumi na mbili ushafungua duka na watu hawaji kununua halafu kuna muuzaji mwingine jirani yako yeye anaamka saa tatu ndio anaenda kufungua duka halafu akifika pale dukani anakuta wateja wako mlangoni wanamngojea afungue duka wanunue😊
 
Hiyo siyo" typing error", "typo" zinafahamika na ujinga unafahamika.

Mtu anaeshindwa kutofautisha hata R na L ni lazima mjini apaone "pazito".

Yote ipo kichwani kwa mtu.

Fikiria sisi tuliozaliwa na kukulia mjini utwambie mjini "pazito", tutakuelewa kweli?

Uzit na wepesi wa maisha upo mawazoni mwetu, siyo uhalisia.

"pazito" pana kilo ngapi na huko kwepesi pana kilo ngapi?
😄😄😄😄😄😄😄😄
 
Mimi huwa nikifika kule nakaa nawaangalia sana yani unakuta mtu yupo na simu tu anazuga kwenye maduka mara hapa mara kule ila kufika jion mwamba anaondoka na hela ndefu halafu yupo smart mbaya
Asilimia 70 ya watu wa mjini wanaishi kwa hii janjajanja sasa ukiwa mgeni huwezi kuelewa kinachofanyika hadi hela inaingia😄😄😄😄😄
 
Wasalam Ndugu jamaa na marafiki.

Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria nimeamini mjini pazito 🙌🙌🙌🙌.

Mjini pazito aiseee, yaani nilijua nikishapata biashara ndio nishamaliza kumbe bado kuna kusugua sana.

Mjini pazito nyie watu hawana huruma kabisa. Bora ningebaki mkoani huko.

Ila ngoja nikaze hivi hivi mpaka kieleweke kikubwa tunapata cha halali.

Kuna time unapitia hata hamu za wanawake unakuwa huna kabisa kutokana na ugumu wa life hapa Dasalamu.

Mjini pazito 🙌 🙌 🙌 🙌
Ulikosea sana kuja Dar, wenzako waliokuja kwa pupa wengi wao hivi sasa wanashikishwa ukuta huko mitaani. Sema tu wewe ni jasiri kwa kuamua kukomaa na maisha badała ya kuinamishwa, hongera sana kwa hilo. Vumilia tu utafika.
 
Yeah inahitaji sacrifice,maana shida inayokuja kwanza unapambana kwa kutumia nguvu nyingi bila ya kuwa na connection yoyote ili utoboe uwainue ndugu zako lakini cha ajabu ndugu zako watakuwa wanakuvuta nyuma kimaendeleo usiwazidi ili muwe sawa.
Kuna mda inabidi uwe na roho ngumu mjini hapa aiseee.

Kama nilipo sasa nimejitenga hata hawajui nilipo.
Wananiona ona tu ila hawajui exactly my location
 
Kuna vitu ukiviwazia sana unaweza ukadata hivi ushawahi kuwaza kwa mfano uko na biashara unauza unaamka asubuhi sana saa kumi na mbili ushafungua duka na watu hawaji kununua halafu kuna muuzaji mwingine jirani yako yeye anaamka saa tatu ndio anaenda kufungua duka halafu akifika pale dukani anakuta wateja wako mlangoni wanamngojea afungue duka wanunue😊
Mi naweza pigana na huyo jamaa aiseee huu sasa utakua ni uchawi nje nje aiseee ahahaha
 
Back
Top Bottom