Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Babu umesema kweli, kuna nyumba tumepangisha 200,000 mkoani ina kila kitu nyumba nzima..!! Nafikiria ingekuwa huku ingenilipa, unaishia kuikopea bank.
Sahihi Mjukuu, shida ya Mikoani hakuna Mzunguko mkubwa wa hela kama ilivyo hapa DSM.

Binafsi nimeachana na biashara ya nyumba za Kupangisha, bora nijikongoje hata miaka 5 kujenga Lodge/Guest Houses tu kuliko nyumba za Kupangisha
 
Yaani mkuu sijui mi labda nakosea kutafsiri.
Unajua watu hata kutoa msaada kwao ni ngumu licha wanajua hali unayopitia..
Mtu wa namna hiyo ww unamuweka kwenye kundi gani
Unatoa msaada kulingana na ulichonacho, msaada town hautolewi kindezi.

Mimi nna buku, hilo buku ndo nalitegemea kwa msosi how comes nikusave wewe mimi ntakula nini??
Mama ntilie wenyewe msosi wa buku hataki hata ipelee mia mbovu...
 
Sahihi Mjukuu, shida ya Mikoani hakuna Mzunguko mkubwa wa hela kama ilivyo hapa DSM.

Binafsi nimeachana na biashara ya nyumba za Kupangisha, bora nijikongoje hata miaka 5 kujenga Lodge/Guest Houses tu kuliko nyumba za Kupangisha
Hii kitu niliwazaga kuifanya ya lodge/guest house. Nyumba za kupangisha wapangaji wanaharibu nyumba.. halafu haina profit kabisa!! Unaanza kuingia gharama za kukarabati tena.!!

Babu nitakutafuta tushauriane kwa hili, napenda ila ule uthubutu ndo mtiti. Hivi Dom kuko vipi kwa issue km hizo??
 
Safi love, kumbe unajiweza πŸ‘ utaniweka hata hapo reception 😎
 
Back
Top Bottom