Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
- #101
DR HAYA LAND
Weka neno mkuu
Weka neno mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifanye yako kwa kuchungulia wengine, fanya wewe kama wewe kwa malengo yako.Ndio mkuu mi hapa nilipoweka biashara kuna mdada mmoja yaani yeye amejipata sijui anafanya kazi gani aisee..
Ila yupo yeye kama yeye mpaka kuna mda nasema kweli maisha haya
Mjini pazito..Usifanye yako kwa kuchungiulia wengine, fanya wewe kama wewe kwa malengo yako.
Usiingizwe chaka tu, siku hizi mjini wanalewa pombe kupitia duburi zao, matokeo ni haya :Mjini pazito..
Una mtazamo gani wewe kama wewe ..?
Pazito mkuu kilo 800...Daslam
Daaah ahahahahaha kweli mjini pazito kwa hali hii.Usiingizwe xchaka tu, siku hizi mjini wanalewa pombe kupitia duburi zao, matokeo ni haya :
View attachment 3024028
Ulianza vizuri kijana 🙃🙄 sima sahivi ushaanza kuharibu mshamba wewe wachie sasa wenzako uome wanavyo toboaMkuu wanasema kama ukoo wenu ni masikini basi kukwepa hiyo chain ni ngumu aiseer
Ndo mana nimeanza na neno wanasema.Ulianza vizuri kijana 🙃🙄 sima sahivi ushaanza kuharibu mshamba wewe wachie sasa wenzako uome wanavyo toboa
Mkuu shukrani sanaPole sana mkuu
Pambana mkuu maisha hayajawahi kuwa rahisi
Ewaaaah wala sio uwongo mkuu tunapambana sana...Pambana mkuu maisha hayajawahi kuwa rahisi
Ukijuwa kuwa "details" ndizo zinabadilisha kila kitu utaelewa namna ya kuishi mjini.Sasa kama umekulia mjini uwezi kusoma uzi wote huo we ukafocus kwenye tofauti ya R na L mkuu..
Ndo mana nimesema itakua umeshiba maza au tu ni vile unataka ligi..
Naelezea hali ilivyo hapa mjini wee kama unaona kwako mambo poa we pita hivi
Nani alikwambia Mandela ni katili?Mpaka mkopo ili upate inataka connection, hii dunia katili zaidi ya gaidi
Sawa sawa bi mkubwa naelewa sana ushauri wako..Ukijuwa kuwa "details" ndizo zinabadilisha kila kitu utaelewa namna ya kuishi mjini.
Wanatuombea mikosiHatuagizwi na mabosi...
Sisi wenyewe mabosi.... Hizi kaulizi za kijinga sana