Hali ya msanii wa Hip hop KALA JEREMIAH si nzuri

Huu ni wimbo unaitwa nisamehe
 
Yuko poa jana nlimuona though anatembea kama ngongoti nadhani sababu ni tolu...nyimbo zake zina viwango vya tbs...ndevu na nywele kaweka vizuri
 
Kala is overrated
Napenda conssious hip hop kwa kiasi chake lakini mistari ya Kala ya kawaida sana anaimba vitu vinavyojulikana na kila mtu
A Normal One
 
Sasa unataka aimbe vitu visivyojulikana ili iweje kwani umeambiwa kuwa yeye ni miongoni mwa wasio julikana au niaje niaje!! Acha chuki broo!!
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Au nae kaanza kuvuta bangi na madawa kama mzee Dsm standup, na yule jamaa wa Segerea mzee wa nipe tano anazulula 2 kwa kitaa, Aah hapo tunasema Kala kaisha kabisa yani kabaki madudu makolokocho kama mzee wa Takeu na harakati za kugongea bia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…