Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Warumi siku hizi wamegeuka Wafiristi.!
Sijawahi kumkubali huyu jamaa
Sasa unataka aimbe vitu visivyojulikana ili iweje kwani umeambiwa kuwa yeye ni miongoni mwa wasio julikana au niaje niaje!! Acha chuki broo!!Kala is overrated
Napenda conssious hip hop kwa kiasi chake lakini mistari ya Kala ya kawaida sana anaimba vitu vinavyojulikana na kila mtu
A Normal One
tazama wimbo mpya unaitwa America afu utaelewa Kama sio kukubaliKala is overrated
Napenda conssious hip hop kwa kiasi chake lakini mistari ya Kala ya kawaida sana anaimba vitu vinavyojulikana na kila mtu
A Normal One
Duh mbona Kala si mzee hivi?Anaonekana amechoka muonekano wake hauridhishi nini kimempata huyu kijana mwenzetu?View attachment 1118513
Ni wivu tuSijawahi kumkubali huyu jamaa
Sumjui wivu WA nini sasa, ningewaonea wivu kina diamond wanaofanya vizuriNi wivu tu
Jina lako kule ziwani nilimsikia mzee baba alisema ni njaaWachawi utawajua tu
Unasema !Kala is overrated
Napenda conssious hip hop kwa kiasi chake lakini mistari ya Kala ya kawaida sana anaimba vitu vinavyojulikana na kila mtu
A Normal One
Nahisi kuna ngoma huyo hawezi choka hivyo hata kwao kuna mtonyo wa kutosha kala Jeremiah masanja
[emoji2][emoji2][emoji2]Sasa unataka aimbe vitu visivyojulikana ili iweje kwani umeambiwa kuwa yeye ni miongoni mwa wasio julikana au niaje niaje!! Acha chuki broo!!
Nipe top list ya wasanii unao wakubali zaidi, iwe ni hapa nchini au njeNapenda conssious hip hop