Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
- Thread starter
-
- #21
Ok, baada ya kufariki maziko yakawa ni kesho yake , so hatukumfanyia treatment yoyote ya mwili ,yani kumchoma sindano au dawa yoyote, wakati amefariki nilikaa naye hapo wodini kitandani kwa muda wa masaa matatu , yani kafariki saa moja usiku, kitendo cha kukubali mwachia awekwe motuary ilikua imesha fika saa nne usiku , so tume kaa naye zaidi ya masaa matatu, kipindi hicho chote hakukakama, ,kesho yake tukaenda chukua mwili , mpaka tuna wingize msikitini tukiwa tume mbeba kwenda kuoshwa alikua laini viungo vina kunjika, so una maana alipo kuwa morturary ali kakamaa na asubuhu ndio aka rudia kuwa laini tena ?No kuna stage ikifika mwili unalainika tena baada ya kukakamaa.
Kwa hiyo ina maana inawezekana ni mambo ya kijadi hayo?
Yeah kuna stages kabisa. Ndio maana huwa anafungwa mdomo kabla hajakakamaa. Misuli inakaza kisha baadae inalegeaga.Ok, baada ya kufariki maziko yakawa ni kesho yake , so hatukumfanyia treatment yoyote ya mwili ,yani kumchoma sindano au dawa yoyote, wakati amefariki nilikaa naye hapo wodini kitandani kwa muda wa masaa matatu , yani kafariki saa moja usiku, kitendo cha kukubali mwachia awekwe motuary ilikua imesha fika saa nne usiku , so tume kaa naye zaidi ya masaa matatu, kipindi hicho chote hakukakama, ,kesho yake tukaenda chukua mwili , mpaka tuna wingize msikitini tukiwa tume mbeba kwenda kuoshwa alikua laini viungo vina kunjika, so una maana alipo kuwa morturary ali kakamaa na asubuhu ndio aka rudia kuwa laini tena ?
ooh ok , asante snaYeah kuna stages kabisa. Ndio maana huwa anafungwa mdomo kabla hajakakamaa. Misuli inakaza kisha baadae inalegeaga.
Acha uongoYeah kuna stages kabisa. Ndio maana huwa anafungwa mdomo kabla hajakakamaa. Misuli inakaza kisha baadae inalegeaga.
Ni sahihi kabisa kwamba utengano (mwili wa marehemu kuharibika) huanza dakika kadhaa baada ya kifo na mchakato unaoitwa "autolysis", au kujitegemea. Mara baada ya moyo kuacha kupiga, seli hunyimwa oksijeni, na asidi huongezeka kama sumu na athari za kemikali huanza kujilimbikiza ndani ya seli mfu.Mmh huyu atakuwa hajafa kabisa kwakuwa kama amekufa kabisa damu huanza kuganda kwakuwa haizunguki tena na mwili hukakamaa.. Dalili za viungo kuwa flexible ni kwamba bado kuna uhai
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtazamo wangu na uzoefu wangu naweza kusema ndioKwa hiyo ina maana inawezekana ni mambo ya kijadi hayo?
Suala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yaani mwili unakuwa uso umevimba lakini viungo vyote viko laini havijakakamaa kwa masaa hayo yote mpaka anazikwa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo mmeshamzika marehemu?Ukiwa unasma kuna uhai ina maana gani? cells hazijafa ila kitaalam kafa ?
🤣 Sawa mzee wa Passo RacyAcha uongo
ndio ,Tena ukiwa unatazama PAA jipya la nyumba Yako mpyaNo kuna stage ikifika mwili unalainika tena baada ya kukakamaa.
Baridi hsikutosha kumuua kabisa😃
Tulisha mzikaKwahiyo mmeshamzika marehemu?