Hali ya Mzee Kawawa...

Hali ya Mzee Kawawa...

Pole Mzee Wetu , tunakuombea upone/upate nafuu haraka.
Ukiacha ya Muzee kuugua utakuta Mshahara wa Huyo Dr ni Nusu ya Mshahara au maslahi ya Mkurugenzi BOT/Commisioner Serikalini. Halafu ndio wenye kuangalia Afya Zetu. Mikopo ya Nyumba kwao Duh/Doho.
 
Sasa hivi taarifa zinasema mzee Kawawa amerudi nyumbani kwake ambako anapumzika.
TBC wametoa update asubuhi hii kuwa wamemtembelea hospitalini bado yuko chumba cha wagonjwa mahututi na anapumua kwa msaada wa mashine. Nadhani watatoa tena kabla ya kumaliza program hii ya Jambo Tanzania inayoendelea sasa.
 

Pape unayakumbuka maneno haya na wakati gani nilikueleza ?shekh yahaya ni mwanafunzi tu kwangu .naweza kukutabiria nini kitakutokea kwa kuangalia mandishi yako tu hata bila ya kukuona au unataka nifanye hivyo?soma niliyokwambia jana usiku

Kila nafsi itaonya mauti hakuna ubishi si wewe si mimi na simwingine itakapofika siku na wakati haizidi hata sekude wacha kujidanganya huo ndio ukweli wewe endelea kujipa tamaa utaishi kwa muda utakao,ukiangalia uso wa mzee unakueleza kuwa ameanza kuoneshwa amali zake alizo zitenda hapa duniyani . (leo ndio tunasikia Mmungu amesha chukuwa kiumbe chake )Mmungu atamlika kwa yale aliyoyafanya Duniyani.kama alivyotueleza atatulipa kwa yale tunayoyafanya hakuna vyenginevyo. Mungu amnusuru na Moto wa jahanama .
 
Back
Top Bottom