Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Mpaka saa 11 jioni alikuwa hai lakini yupo chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) MuhimbiliMamamia, kweli umeangalia TBC new leo saa mbili... Je tuamini kipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka saa 11 jioni alikuwa hai lakini yupo chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) MuhimbiliMamamia, kweli umeangalia TBC new leo saa mbili... Je tuamini kipi?
Kwa hilo hakuna haja ya kuwasumbua mods, sema tu unataka ban ya muda gani, nitajipiga mwenye hiyo banNote: yule jamaa aliyeanzisha thread ya kifo cha mzee alimwe 'ban'....
mamamia, kweli umeangalia tbc new leo saa mbili... Je tuamini kipi?
kuwa makini nxt time...Kwa hilo hakuna haja ya kuwasumbua mods, sema tu unataka ban ya muda gani, nitajipiga mwenye hiyo ban
teh teh tehni simba wa vita...SIMBA WA YUDA SALA ZETU ZIKO NYUMA YAKO
Hali ya Mzee Kawawa ilikuwa tata mapema leo na kusababisha uvumi kuwa mzee huyo amefariki dunia. Mzee huyo ambaye ana matatizo ya muda mrefu ya kisukari alikimbizwa hospitali ambako Rais Kikwete na mzee Kingunge walimtembelea kumjulia hali. Sasa hivi taarifa zinasema mzee Kawawa amerudi nyumbani kwake ambako anapumzika.
kutenda kosa sio kosa ila kurudia kosa ni kosa kubwa...asamehewe ila awe makini na chnzo cha habari yake kabla haya iposti....kwani mwanao akikunyea utaukata mkono wako au utaenda kuuosha? hata Biblia inasema tusamehe saba mara sabini.....hata mimi nilikuwa nahimiza aadhibiwe lkn tumsamehe tu...mpita njia umesamehewa kwa niaba ya JF kwani vitabu vitakatifu vinasema tusilale na kinyongo (jua lisizame kabla hatujasamehe)Huyo aliyetoa hizi force news na asulubiwe!!!!
kufanya kosa sio kosa jamani.....Haya nimerudi tena hapa kwa vile sijasikia mboko zinatembea kwa wale wazushi; vipi mod, unataka tujichukulie sheria mkononi? Nataka wale waongo wote walambwe viboko hapa hapa, tena sasa hivi.
vipi wakitangaza kwamba wewe umeaga dunia? ni kweli litatokea? kama lilivyotangazwa au kwa mapenzi yake maanani?Lisemwalo lipo na kama halipo linakuja.
kufanya kosa sio kosa jamani.....
vipi wakitangaza kwamba wewe umeaga dunia? ni kweli litatokea? kama lilivyotangazwa au kwa mapenzi yake maanani?