Hali ya Mzee Kawawa...

Hali ya Mzee Kawawa...

Note: yule jamaa aliyeanzisha thread ya kifo cha mzee alimwe 'ban'....
Kwa hilo hakuna haja ya kuwasumbua mods, sema tu unataka ban ya muda gani, nitajipiga mwenye hiyo ban
 
mamamia, kweli umeangalia tbc new leo saa mbili... Je tuamini kipi?


mkuu mtm
mi siangaliagi tv za mafisadi
nimeangalia itv mkuu kama upo bongo
cheki saa nne babu akitoa pozi lake masikini
na kipara cha utajiri kama bill gates

walioombea mungu afe wapate tenda za maturubai na viti wamumia
 
Mkuu labda

tbc na itv watujulishe ukweli ukwapi???
Ila mi niliamini kwa macho nilipoona mzee wetu wa mizunguko
mkulu jk na mkewe wakimcheki mzee akatoa pozi kama nyerere karudi
baadae wakampuzisha anaonekana amechoka kidogo,naamini itv
hawana kibali cha kuonyesha maiti hadharani kiasi hicho
baadae akaulizwa mtoto wake wa kike ...mtupa akasema babu yuko
fit nashukuru ameanza kututambua kamtambua kingunge....


Kawawa kasmile kwa kingunge unafanya mchezo;;!!
 
Huyo hapo mzima wa afya (kwamba anauhai) ila yupo ICU.
Source; Mjengwa blog
 

Attachments

  • 2CAYCIYE9.jpg
    2CAYCIYE9.jpg
    81.9 KB · Views: 47
Hali ya Mzee Kawawa ilikuwa tata mapema leo na kusababisha uvumi kuwa mzee huyo amefariki dunia. Mzee huyo ambaye ana matatizo ya muda mrefu ya kisukari alikimbizwa hospitali ambako Rais Kikwete na mzee Kingunge walimtembelea kumjulia hali. Sasa hivi taarifa zinasema mzee Kawawa amerudi nyumbani kwake ambako anapumzika.
 
Its true i second Mama Mia...mzee kawawa yupo hai actual yupo ER and not ICU...maana rumours zina spead kishenzi kuwa mzee wa watu ame dead hadi ikabidi waite ITV kwenda hospital......wakati mzee wa watu anadunda tuu!....

Huyo aliyetoa hizi force news na asulubiwe!!!!
 
Hali ya Mzee Kawawa ilikuwa tata mapema leo na kusababisha uvumi kuwa mzee huyo amefariki dunia. Mzee huyo ambaye ana matatizo ya muda mrefu ya kisukari alikimbizwa hospitali ambako Rais Kikwete na mzee Kingunge walimtembelea kumjulia hali. Sasa hivi taarifa zinasema mzee Kawawa amerudi nyumbani kwake ambako anapumzika.

Asante sana, wewe nakuamini sana kuwa huwa huandiki kitu ambacho hujathibitisha.

Nadhani sitamlaumu Admini akiamua kuwatandika viboko wale wote waliovumisha hapa kuwa wana taarifa za uhakika eti mzee yule kafariki. uwongo wa namna hiyo una-affect sana credibility ya JF
 
Cuzin yule jamaa aliyetoa hizi force kuwa mzee RMK amefariki sasa inabidi asulubiwe!!!!...kwa kuwekwa kitanzi!
 
Huyo aliyetoa hizi force news na asulubiwe!!!!
kutenda kosa sio kosa ila kurudia kosa ni kosa kubwa...asamehewe ila awe makini na chnzo cha habari yake kabla haya iposti....kwani mwanao akikunyea utaukata mkono wako au utaenda kuuosha? hata Biblia inasema tusamehe saba mara sabini.....hata mimi nilikuwa nahimiza aadhibiwe lkn tumsamehe tu...mpita njia umesamehewa kwa niaba ya JF kwani vitabu vitakatifu vinasema tusilale na kinyongo (jua lisizame kabla hatujasamehe)
 
Mungu amzidishie maisha mzee wa watu, ni miongoni mwa viongozi waliofanya kazi kwa usafi na upendo kwa taifa letu. Tunawahitaji bado aina ya watu kama mzee huyu. Mungu ampe nafuu, japo kila nafsi itaonja mauti.
 
thanks mode...
ila ungeziunganisha kama zilivyokuwa (nzima nzima bila kuzikata kata) kwani umemix mix vipande na vimekaa kama vile haviendaniendani vile....
sio mbaya mtu hawezi kushtukia unless kama alifuatilia threads zote 2 tangu mwanzo! Nimeona umemchomeka mzee mwanakijiji katika #15 kwani mwanzoni hakuwa hapo! na za wale members walo-reply kwa mzee mwanakijiji sioni replies zao!
 
Sheikh Yahya anaumwa akili ndio wale watu wanaotabiri kesho jua litachomoza..lol.. He is so vague about his so called predictions and besides the people who developed the mythology of astrology did not even know that stars where gigantic balls of hydrogen burning at millions of degrees, millions of light years away and that they are responsible for our existence because we are space dust. SO any talk of astrology is inherently stupid. Infact due to the progression of the equinox, which occurs extremely slowly on our time scale, the signs of the zodiac have moved in relation to months since the Ancient BCE period. SO someone who is a Gemini would have been a Taurus. Ancient people knew nothing about the universe and so they invented Gods and anthropomorphized the stars into elaborate myths. Yes I said it.. welcome to the 21st Century...
 
Haya nimerudi tena hapa kwa vile sijasikia mboko zinatembea kwa wale wazushi; vipi mod, unataka tujichukulie sheria mkononi? Nataka wale waongo wote walambwe viboko hapa hapa, tena sasa hivi.
 
Haya nimerudi tena hapa kwa vile sijasikia mboko zinatembea kwa wale wazushi; vipi mod, unataka tujichukulie sheria mkononi? Nataka wale waongo wote walambwe viboko hapa hapa, tena sasa hivi.
kufanya kosa sio kosa jamani.....
Lisemwalo lipo na kama halipo linakuja.
vipi wakitangaza kwamba wewe umeaga dunia? ni kweli litatokea? kama lilivyotangazwa au kwa mapenzi yake maanani?
 
kufanya kosa sio kosa jamani.....

vipi wakitangaza kwamba wewe umeaga dunia? ni kweli litatokea? kama lilivyotangazwa au kwa mapenzi yake maanani?

Kila nafsi itaonya mauti hakuna ubishi si wewe si mimi na simwingine itakapofika siku na wakati haizidi hata sekude wacha kujidanganya huo ndio ukweli wewe endelea kujipa tamaa utaishi kwa muda utakao,ukiangalia uso wa mzee unakueleza kuwa ameanza kuoneshwa amali zake alizo zitenda hapa duniyani .
 
Back
Top Bottom