Kwa kuwa imethibitika halipo, una maana linakuja?Lisemwalo lipo na kama halipo linakuja.
TBC wametoa update asubuhi hii kuwa wamemtembelea hospitalini bado yuko chumba cha wagonjwa mahututi na anapumua kwa msaada wa mashine. Nadhani watatoa tena kabla ya kumaliza program hii ya Jambo Tanzania inayoendelea sasa.Sasa hivi taarifa zinasema mzee Kawawa amerudi nyumbani kwake ambako anapumzika.
fafanua mkuu maana ya hilo neno hapo juu plsUyu mzee mbishi anyway ugua pole!