Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,216
- 3,126
Huo ndiyo upuuzi wetu waafrika. Eti ''utaalam wa hali ya juu''!! Wa hali ya juu unatoka sayari gani? Mbona nchi zingine zimeweza!! Ndiyo maana akina Camerun wameamua kutufundisha adabu. Hela zipo mikononi mwetu lakini tunashindwa kuzikusanya na kutumia.Kwa mawazo uliyo nayo, kamwe hutaweza kuona kitu kizima hivi ambacho ndicho serikali. TRA ni kama TCRA. Je TRA pia inapokea ruzuku kutoka serikalini? Kwa taarifa yako ukusanyaji mapato kwenye kampuni za simu siyo kitu rahisi kama vile kulipa kodi ya pango TRA. Kunahitajika utaalamu wa hali ya juu na watu wenye wataalamu na vyombo vya kudhibiti mianya ya kukwepa kodi ni TCRA. Upo?
Wengi wenu ni halal yenu! Mnafika kazini saa 4 halafu dk 10 zikipita eti mnaenda kunywa chai..mkitoka huko kazi ya kwanza ni kusoma magazeti kabla hamjaanza mishemishe za lanchi. Toeni upuuzi wenu hapa, ala!
Ukweli ni kwamba pool ya labor force ya Tz ni kituko. Output hamna. Nod maana wawekezaji wengine wapo radhi kumpa mkenya mshahara wa 5 mil kwa mwezi kuliko kumpa mbongo laki 5 kwa same job description, maana anajua mbongo ataharibu. Wengi wenu ni wavivu na wazembe halafu ndio wa kwanza kudai chenji.Sasa tatizo hilo ni la in charge,supervisor,HR officer,MD,DED,yaani ni usimamizi mbovu wa hiyo ofisi husika. Utamlaumu vp kila mtumishi wa serikali?
Mliimchagua wenyewe huyo JK last year, subirini mnae huyo hadi 2015. Mtavuna mlichopanda
Fanyeni kazi acheni kupiga umbeya mwisho wa mwezi bado tayari mshaanza kulalama hela ya mwisho wa mwezi. Je mngelikuwa mnafanya kazi katika kampuni binafsi ambapo mshahara hutoka tarehe 30 si mngelia nyie vp!!!!
Wengi wenu ni halal yenu! Mnafika kazini saa 4 halafu dk 10 zikipita eti mnaenda kunywa chai..mkitoka huko kazi ya kwanza ni kusoma magazeti kabla hamjaanza mishemishe za lanchi. Toeni upuuzi wenu hapa, ala!
Nakubaliana na wewe kwamba kufilisika ni mchakato!!! Hata hivyo, point yangu ni kwamba, mimi nimeshahusika sana na suala hili la mishahara wakati nipo benki fulani miaka michache iliyopita. Fluctuation ya tarehe za kulipa mishahara haijaanza leo, hivyo ikiwa fluctuation hiyo ndio dalili ya kufilisika basi ingekuwa tumeshafilisika zamani. Mkuu, asikuambie mtu; kufilisika sio kitu rahisi kiac hicho. Inawezekana, lakini ktk mazingira ya sasa bado sana na hakuna indicator ya kufilisika.....suala la kuchelewa mishahara wiki moja au mbili bado sio kigezo cha kufilisika.Kuna wakati fulani nilikuwa nahusika na posting ya mishahara ya TAZARA, ilifikia wakati una-post mshahara November kumbe ndo mshahara wa September huo!!!!! Je, sisi (kwa maana ya TZ gvt) tumekaribia huko?!
Wengi wenu ni halal yenu! Mnafika kazini saa 4 halafu dk 10 zikipita eti mnaenda kunywa chai..mkitoka huko kazi ya kwanza ni kusoma magazeti kabla hamjaanza mishemishe za lanchi. Toeni upuuzi wenu hapa, ala!