Hali ya Simba SC ni mbaya sana, Mo Dewji anatapeliwa! Mashabiki tuchukue hatua

Aliwaambia ukweli,mkampuuza
 
Simba kuna wapiga dili hatari mo. Analiwa hela ubingwa wanatoka kapa mwaka huu kuanzia ligi kuu mpaka ligi ya mabingwa
 
Thread gani hizo sasa hela inapigwa je ….kama huna cha kuandika kakae na watotot mcheze...
KUTOKA KAMBINI NIISSUE na uongozi umeona na kuwakemea wahusika
BE POSITIVE MKUUU
 
Thread gani hizo sasa hela inapigwa je ….kama huna cha kuandika kakae na watotot mcheze...
KUTOKA KAMBINI NIISSUE na uongozi umeona na kuwakemea wahusika
BE POSITIVE MKUUU
ACHENI KUIBA HELA ZA MO , WENGINE WACHANGIAJI WAMEELEWA ZINAIBWAJE NYIE MNAZIMA MOTO KWA PETROL
 
NZAGAMBA NJOO NA HOJA ILE SASA NI SIMBA AMBAYO NI TAASISSI NA CEO ….acha wivu na hoja mfu sema wazi zinaibwaje vyombo husika viingie kazini...sio kuja na porojo tu kupitisha muda….
 
Wanafanya Aerobics na massage wakuu....ndiyo mambo ya ulaya hayo wakuu
 
hahaha mkuu umenikumbusha ule ugonvi wa under dog albino vs shafii dauda... leo tunajua kwamba shafii ni mchambuzi haswaa na lile li albino linasubir kukata mauno timu ikishinda
 
NZAGAMBA NJOO NA HOJA ILE SASA NI SIMBA AMBAYO NI TAASISSI NA CEO ….acha wivu na hoja mfu sema wazi zinaibwaje vyombo husika viingie kazini...sio kuja na porojo tu kupitisha muda….
wanashindwa kuchukua hatua dhidi ya watovu wa nidhamu kama hawa wanaotoroka kambini one day before match kuhudhuria birthday na kesho yake wanapangwa, huyo CEO ANAFANYA NINI?AU YALE MADUDU YA NSSF KAYAHAMISHIA SIMBA?mbona wachezaji wa simba siku hizi wanafanya utovu wa nidhamu bila uoga wowote?tukisema mnatuambia tuna WIVU MARA MASKINI TUNATUMIA VI TECNO VYA 70,000. anyway kila la heri jumamosi tutashangilia tu kwa imani tutapata hata droo hiyo ni kama WACHEZAJI WATAKUWA HAWAJALEWA
 
washapewa onyo mkuuu sio muda wa kufukuzana huuuuu tutulie
 
washapewa onyo mkuuu sio muda wa kufukuzana huuuuu tutulie
wazeee wa ten percent hawataki mishahara ikatwe maana lile fungu lao la kudonoa kwa kila mchezaji mwisho wa mwezi halitakuwepo.siyo kwamba wanasimamia nidhamu,wafanyakazi wa kiwanda cha juisi cha MO dewji hawawezi kwenda kazini wamelewa wakaharibu kazi meneja akawachekea tu,only team ya simba ndo uwekezaji wa Mo kusipo na nidhamu,inaudhi sana,tukilalalmika tunaambiwa mnajua nusu ya bodaboda za ifakara ni za kichuya?so what?
 
Usiogope mkuu mbivu na mbichi zao tutaziona hapo Misri huwezi kuamini siku zinavyoenda badala ya timu kuimarika inageuka kituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…