Hali ya Simba SC ni mbaya sana, Mo Dewji anatapeliwa! Mashabiki tuchukue hatua

haya sasa embU oneni mambo haya,eti walitaka walimwe mshahara wa mwezi kama faini kocha kawatetea waandikiwe baruA YA ONYO. Hii team ina nidhamu tena hapo?Hivi Mo kwenye vile viwanda vyako mfanyakazi anaruhusiwa kuja kazini kalewa na kuparamia mashine hovyohovyo kama mlevi muzamiru yassin alivyomparamia mchezaji wa bandari na kuishia kuvunjika hadi kipelekwa hospital?
MATAPELI ,KUWENI NA HURUMA NA HELA YA MWEKEZAJI MO DEWJI BASI? mbona zahera yanga anasimamia nidhamu kwa nguvu zote?leo wengine wakienda kulewa si watasema nao ni mara ya kwanza wasamehewe kwa kuandikiwa barua?

Mambo ni moto ndani ya Simba! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuwachukulia hatua wachezaji wote wanaodaiwa kutoroka kambini na kwenda kufanya starehe wakati wakijua wanakabiliwa na mechi ngumu.

Usiku wa kuamkia Ijumaa, baadhi ya wachezaji wa Simba ambao ni Haruna Niyonzima, Jonas Mkude, Shiza Kichuya, Pascal Wawa, Mohammed Ibrahim ‘Mo’, Mzamiru Yassini pamoja na Hassan Dilunga walidaiwa kutoroka kambini na kwenda kufanya starehe wakati wakijua kesho yake wanakabiliwa na mechi ngumu ya Nusu Fainali ya Michuano ya SportPesa dhidi ya Bandari ya Kenya.

Kutokana na hali hiyo, wachezaji hao kila mmoja amelimwa barua ya onyo ikiwaonya kutorudia kufanya kosa kama hilo siku nyingine.

Habari za kuaminika kutoka ndani ya Simba zimedai kuwa, uongozi wa timu hiyo ulitaka kuwakata mshahara wa mwezi mmoja wachezaji hao kutokana na kosa hilo, lakini kocha aliwatetea kwa kuutaka uongozi huo kuwaandikia barua za onyo.

“Jambo hilo liliwakasirisha wengi na uongozi ulikuwa umeamua kuwakata kila mmoja mshahara wa mwezi mzima lakini kocha aliwatetea na kuutaka uongozi uwaandikie barua ya onyo.

“Alifanya hivyo, kwa sababu ndiyo mara yao ya kwanza hivyo siyo vizuri kuwachukulia hatua kali kama hizo jambo ambalo uongozi ulikubaliana nalo na kuamua kuwaandikia barua ya onyo kila mmoja,” kilisema chanzo chetu cha habari.

Alipoulizwa kuhusiana na hilo, Mratibu wa Simba, Abassi Ally hakuwa tayari kusema chochote ila kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems alisema kuwa ni kweli wachezaji hao wamepewa onyo lakini pia amezungumza nao ili kuwakumbusha majukumu yao ya kazi.
 
haya sasa embU oneni mambo haya,eti walitaka walimwe mshahara wa mwezi kama faini kocha kawatetea waandikiwe baruA YA ONYO. Hii team ina nidhamu tena hapo?Hivi Mo kwenye vile viwanda vyakao mfanyakazi anaruhusiwa kuja kazini kalewa na kuparamia mashine hovyohovyo kama mlevi muzamiru yassin alivyomparamia mchezaji wa bandari na kuishia kuvunjika hadi kipelekwa hospital?
MATAPELI ,KUWENI NA HURUMA NA HELA YA MWEKEZAJI MO DEWJI BASI? mbona zahera yanga anasimamia nidhamu kwa nguvu zote?leo wengine wakienda kulewa si watasema nao ni mara ya kwanza wasamehewe kwa kuandikiwa barua?

Mambo ni moto ndani ya Simba! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuwachukulia hatua wachezaji wote wanaodaiwa kutoroka kambini na kwenda kufanya starehe wakati wakijua wanakabiliwa na mechi ngumu.

Usiku wa kuamkia Ijumaa, baadhi ya wachezaji wa Simba ambao ni Haruna Niyonzima, Jonas Mkude, Shiza Kichuya, Pascal Wawa, Mohammed Ibrahim ‘Mo’, Mzamiru Yassini pamoja na Hassan Dilunga walidaiwa kutoroka kambini na kwenda kufanya starehe wakati wakijua kesho yake wanakabiliwa na mechi ngumu ya Nusu Fainali ya Michuano ya SportPesa dhidi ya Bandari ya Kenya.

Kutokana na hali hiyo, wachezaji hao kila mmoja amelimwa barua ya onyo ikiwaonya kutorudia kufanya kosa kama hilo siku nyingine.

Habari za kuaminika kutoka ndani ya Simba zimedai kuwa, uongozi wa timu hiyo ulitaka kuwakata mshahara wa mwezi mmoja wachezaji hao kutokana na kosa hilo, lakini kocha aliwatetea kwa kuutaka uongozi huo kuwaandikia barua za onyo.

“Jambo hilo liliwakasirisha wengi na uongozi ulikuwa umeamua kuwakata kila mmoja mshahara wa mwezi mzima lakini kocha aliwatetea na kuutaka uongozi uwaandikie barua ya onyo.

“Alifanya hivyo, kwa sababu ndiyo mara yao ya kwanza hivyo siyo vizuri kuwachukulia hatua kali kama hizo jambo ambalo uongozi ulikubaliana nalo na kuamua kuwaandikia barua ya onyo kila mmoja,” kilisema chanzo chetu cha habari.

Alipoulizwa kuhusiana na hilo, Mratibu wa Simba, Abassi Ally hakuwa tayari kusema chochote ila kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems alisema kuwa ni kweli wachezaji hao wamepewa onyo lakini pia amezungumza nao ili kuwakumbusha majukumu yao ya kazi.
Kocha yuko sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya sasa embU oneni mambo haya,eti walitaka walimwe mshahara wa mwezi kama faini kocha kawatetea waandikiwe baruA YA ONYO. Hii team ina nidhamu tena hapo?Hivi Mo kwenye vile viwanda vyako mfanyakazi anaruhusiwa kuja kazini kalewa na kuparamia mashine hovyohovyo kama mlevi muzamiru yassin alivyomparamia mchezaji wa bandari na kuishia kuvunjika hadi kipelekwa hospital?
MATAPELI ,KUWENI NA HURUMA NA HELA YA MWEKEZAJI MO DEWJI BASI? mbona zahera yanga anasimamia nidhamu kwa nguvu zote?leo wengine wakienda kulewa si watasema nao ni mara ya kwanza wasamehewe kwa kuandikiwa barua?

Mambo ni moto ndani ya Simba! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuwachukulia hatua wachezaji wote wanaodaiwa kutoroka kambini na kwenda kufanya starehe wakati wakijua wanakabiliwa na mechi ngumu.

Usiku wa kuamkia Ijumaa, baadhi ya wachezaji wa Simba ambao ni Haruna Niyonzima, Jonas Mkude, Shiza Kichuya, Pascal Wawa, Mohammed Ibrahim ‘Mo’, Mzamiru Yassini pamoja na Hassan Dilunga walidaiwa kutoroka kambini na kwenda kufanya starehe wakati wakijua kesho yake wanakabiliwa na mechi ngumu ya Nusu Fainali ya Michuano ya SportPesa dhidi ya Bandari ya Kenya.

Kutokana na hali hiyo, wachezaji hao kila mmoja amelimwa barua ya onyo ikiwaonya kutorudia kufanya kosa kama hilo siku nyingine.

Habari za kuaminika kutoka ndani ya Simba zimedai kuwa, uongozi wa timu hiyo ulitaka kuwakata mshahara wa mwezi mmoja wachezaji hao kutokana na kosa hilo, lakini kocha aliwatetea kwa kuutaka uongozi huo kuwaandikia barua za onyo.

“Jambo hilo liliwakasirisha wengi na uongozi ulikuwa umeamua kuwakata kila mmoja mshahara wa mwezi mzima lakini kocha aliwatetea na kuutaka uongozi uwaandikie barua ya onyo.

“Alifanya hivyo, kwa sababu ndiyo mara yao ya kwanza hivyo siyo vizuri kuwachukulia hatua kali kama hizo jambo ambalo uongozi ulikubaliana nalo na kuamua kuwaandikia barua ya onyo kila mmoja,” kilisema chanzo chetu cha habari.

Alipoulizwa kuhusiana na hilo, Mratibu wa Simba, Abassi Ally hakuwa tayari kusema chochote ila kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems alisema kuwa ni kweli wachezaji hao wamepewa onyo lakini pia amezungumza nao ili kuwakumbusha majukumu yao ya kazi.
Umeandika Kiyangayanga hovyooo uzi ulikuwa mzuri ila ulipoingiza uyangayanga umetia boko!!
 
Kila mtu anakosea, hata huo uamuzi wa kuwapa barua za onyo ni busara pia, na hata wangekatwa mshahara pia ingekuwa ni sawa maana hukumu ingetekelezwa kama ndivyo sheria inavyodai.
 
Ww sidhani kama ni shabiki wa simba kila nyuzi zako kuhusu simba zimekaa kipropaganda kama za ccm na chadema.
 
kama kweli unafatilia posts zangu kuhusu simba kabla ya haya mautumbo ya last week uliona nikisshambulia team yangu niipendayo?yaani kuwashambulia matapeli yaliyomzunguka MO DEWJI NA wachezaji walevi wasio na nidhamu wala kujituma plus coach anayewapanga ilihali wana hang over hadi wengine wakasababisha penalti na kujiumiza ndo kunanifanya nisiwe mshabiki wa simba?
mimi mshabiki wa simba since 1990 mavumbi omary anawapiga yanga goal la free kicks, ila sipendi hali ya sasa ikichagizwa na tapeli msemaji anayedharau wanaotumia simu za 70,000 kisa sasa hivi ana vijisenti na followers wengi instagram
 
Ni wazi kwamba Mo Dewji anapigwa hela zake na matapeli yaliyomzunguka. Mazee ya ten percent yameokota wachezaji feki huko nje kwa kushirikiana na mzungu wanadai wanawafanyia majaribio yanawapa waandishi njaa vi laki mbili mbili kupamba kwenye magazeti kwamba majembe yameingia bongo

Kuna mwingine yeye anaropokaropoka hadi imemsaidia kupata vijisenti,kupata ubalozi wa kampuni,kuhama toka uswahilini hadi mikocheni,kuwa staa nchi nzima na kutudanganya kwamba Clatous Chama ni mmoja wapo ya wachezaji bora 11 duniani

Kuna wachezaji juzi walienda club one day before disastrous perfomance na Bandari, alikuwa Niyonzima, Wawa, Mo Ibrahim, Dilunga na Mkude. Hakuna wa kusimamia nidhamu tena Simba kila mtu anawaza kupiga hela za Mo Dewji

Team hadi leo haina kocha masaidizi kuna kocha sijui wa viungo huwa anawaweka kwenye vitaulo vile wanalala utadhani kama James Delicious

Wachezaji wanacheza wamelegea kweli halafu hawana spirit ya kupambana,hovyo kabisa,lazy bastards,wafanyakazi hewa

Cha kufanya sasa kama kile kikundi kidogo kilichozomea juzi baada ya mechi ya Bandari inabidi kesho kuishangilia Mbao kwa nguvu na kumpuuza albino maana yeye anachojali sasa hivi ni lotion yake,pafyumu na birthday yake kwa kifupi anafurahia brand yake

******
Namuonea huruma sana Mo Dewji ,vision yako kuhusu Simba haitafanikiwa kwa squad hii,hawana passion hawana nidhamu,takataka ...Nimepoteza matumaini nafikiri mechi ya Ismailia tutakula goals 10.
Acha apigwe tu
 
Back
Top Bottom