Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Waliwekewa sana kauzibe na CCM kuliboresha. Muulize Prof. Kitila Mkumbo.Du, hili soko Mhe. Mnyika na meya Jocob wameikuta hivyo na kuiacha hivyo hivyo. Very sad.
Sasa wanasubiri nini kuliboresha?
Nimewahi kufika hapo kweli panapilika sana. Maoni yangu serikali ilifumuwe na kujenga mpya mana hela zinazoingia ni nyingi. Haifai kuimba maendeleo wakati soko lipo hovyo, watoto mashuleni wengine wakaa chini, maji na vyoo tatizo.Hili soko ni Maarufu kama Mahakama ya ndizi , liko Mabibo , Mkoa wa Dar es Salaam , Ushuru unaopatikana kwenye soko hili kwa mwaka ni zaidi ya hela ya madafu Bil 1.2
View attachment 2211524View attachment 2211526
Toa maoni yako .
Maendeleo hayana chamaDu, hili soko Mhe. Mnyika na meya Jocob wameikuta hivyo na kuiacha hivyo hivyo. Very sad.
Wanatakiwa kuhamia simu 2000 kupisha ujenzi ingawa eneo sio la jiji wala manispaa ni kiwanda unafiki na wanalitakaHili soko ni Maarufu kama Mahakama ya ndizi , liko Mabibo , Mkoa wa Dar es Salaam , Ushuru unaopatikana kwenye soko hili kwa mwaka ni zaidi ya hela ya madafu Bil 1.2
View attachment 2211524View attachment 2211526
Toa maoni yako .
SwadaktaWanatakiwa kuhamia simu 2000 kupisha ujenzi ingawa eneo sio la jiji wala manispaa ni kiwanda unafiki na wanalitaka
Uchumi wa viwonderHili soko ni Maarufu kama Mahakama ya ndizi , liko Mabibo , Mkoa wa Dar es Salaam , Ushuru unaopatikana kwenye soko hili kwa mwaka ni zaidi ya hela ya madafu Bil 1.2
View attachment 2211524View attachment 2211526
Toa maoni yako .
ccm yako unayoipendaWahusika wako bize kupandisha bei za mafuta kwanza! Na kuna ile stendi ya Tegeta kibaoni, ni hovyo mvua zikinyesha
Eneo is simu 2000 dogo sanaSwadakta
Eneo ni la urafiki wakitaka waondoke tu
Ova
Tanzania eeee 🎶🎶nchii yangu “kwa sauti ya roma mkatoliki”Hili soko ni Maarufu kama Mahakama ya ndizi , liko Mabibo , Mkoa wa Dar es Salaam , Ushuru unaopatikana kwenye soko hili kwa mwaka ni zaidi ya hela ya madafu Bil 1.2
View attachment 2211524View attachment 2211526
Toa maoni yako .
Maya jacon alipata misaada kwa Wahisani kusaidia usafi wa manispaa na ujenzi wa miuondo mbinu Jiwe akagoma.Du, hili soko Mhe. Mnyika na meya Jocob wameikuta hivyo na kuiacha hivyo hivyo. Very sad.
Mkuu unataka nisemeje yaan!ccm yako unayoipenda