Hali ya soko la Mabibo wakati wa mvua ni mbaya sana

nimemaliza mzigo naeda kulala kesho kazini
 
Nimesha maliza hizo nne, wife ana mind, ngoja nilale. Namuheshimu sana
 
Hili soko ni Maarufu kama Mahakama ya ndizi , liko Mabibo , Mkoa wa Dar es Salaam , Ushuru unaopatikana kwenye soko hili kwa mwaka ni zaidi ya hela ya madafu Bil 1.2


Mzee na ndizi zake kakaa kabisa anaangalia zege mbele yake kama anaangalia mpira vile πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hilo eneo la soko lina mgogoro,,, URAFIKI wanalitaka na mahakama ilishatoa tamko wahame,,, ila JPM kwenye kampeni akawarudisha...

Sijui nini kinaendelea kwa sasa ila nadhani huenda huo mgogoro umekwamisha kuliendeleza
 
Kudadeki mwafrica ni laana tupu, wanakusanya bilioni bila excuse yeyote tena kwa viboko na vitisho lakini watakuja na excuse milioni kwanini hawalijengi kwa kiwango kinachotakiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…