Hali ya soko la Mabibo wakati wa mvua ni mbaya sana

ivi maeneo hayo hayo ndo kauli tata ilitolewagaeee ... "Bakini na ma%$vi yenu umo ndani"
 
Kiwanda Cha urafiki,bado kinazalisha khanga, naona khanga nyingi zinatoka China, India na kiwanda Cha wahindi Cha Mbagala.
Serikali inakwama wapi?,
soko la nguo lipo ndani ya nchi, malighafi (Pamba) inalimwa hapa nchini, lakini kiwanda kama Urafiki kinazalisha Chini ya uwezo.
-Tanzania tulikuwa na viwanda vingi vya nguo wakati wa Mwalimu Nyerere, kama vile kiltex,sungura textile,Urafiki textile kwa hapa Dar,na Mwatex Mwanza,Mutex Musoma,Morogoro textile na Sunflag Arusha lakini watanzania wenzetu walivihujumu.
-Viwanda hivi vilitoa ajira za moja kwa moja kwa wananchi wengi na soko la Wakulima wa Pamba.
-Serikali ichukue hatua za makusudi kukaribisha wawekezaji kutoka sekta binafsi kuwekeza kwenye sekta ya viwanda vya nguo na mafuta ya kula.

Ushauri
-Kiwanda Cha Urafiki kama hawana mpango kazi wa kuendeleza eneo la Mahakama ya ndizi mabibo,ikiwapendeza waruhusu Serikali ijenge soko la kisasa la zao la ndizi.
 
Ndio suluhisho?
Ndiyo ninavyosikia kukiwa na katiba mpya, hata kazi hatufanyi tena tunakula na kusaza tu. Katiba italeta pia mafuta ya buree. Mimi nataka hiyo malalamiko yataisha.
 
Du, hili soko Mhe. Mnyika na meya Jocob wameikuta hivyo na kuiacha hivyo hivyo. Very sad.
Tangia 2020 hadi leo limeboreshwa na kuwa hivyo lilivyo sasa!Kweli CCM ni chama kinachojali na ndiyo maana Mama anaupiga mwingi?
 
Ndiyo ninavyosikia kukiwa na katiba mpya, hata kazi hatufanyi tena tunakula na kusaza tu. Katiba italeta pia mafuta ya buree. Mimi nataka hiyo malalamiko yataisha.
It'll always remain theoretically but never practically
 
Solution ni Katiba mpya, pesa zote za masoko madogo ushuru ibaki kuboresha miundombinu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…