Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,208
- 20,517
Wakuu kila kona mtaani watu wanalalamika hela hamna, na kila mtu anasema huu mwaka unaonekana ni mgumu kuliko mwaka uliopita.
Ijapo watu wanalalamika lakini serikali yetu wala haina habari na wananchi wake kila mtu anapapambana na hali yake kwa kweli.
Vijana nao wanalia hamna ajira sasa wamejiari biashara hamna wanadai watu hawana hela mifukoni. Biashara zinajifia moja baada ya nyingine.
Siku hizi imekuwa kama ni fashion kudaiwa halafu mtu anamalizia kwa kusema "hata serikali na yenyewe inadaiwa" au unasikia wanasema "kama mtu hudaiwi huna akili"
Nini hatma ya hii nchi na watu wake miaka 3 ijayo?