Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Nimetembelea minada kadha kadha ya korosho huku kusini. Kuna ufuska wa kiwango cha lami. Wadada kibao wanajiuza huku. Vingine vitoto vidogo kabisa ambavyo sidhani hata kama vina miaka 17.
Kwa staili hii Ukimwi utakwisha kweli?
Kwa staili hii Ukimwi utakwisha kweli?